Je alijiuzia au aliwauzia wananchi wa tanzania?? bado hili haliwezi kumfanya awe na doa kama ilivyokuwa kwa lowassa au chadema na ubadhilifu wa mali za chama
MEANDU wapi tena Magufuli hawezi pitakazi bado unaweza ukashangaa magufuli hapiti. Subiri kwanza kura .
Kinana ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu hakuna kabisa kama huyu UKAWA!
magufuli ana kura za kanda ya ziwa zote hapo na maanisha bukoba,mwanza, mara, geita, shinyanga, tabora, kigoma jamaa ndo Rais wetu 2015-2025
Wajumbe wa ccm wakisikia jina la Lowasa wanashangilia kinafiki
Jk amechoka kabisa anaongea kwa shida .
Membe yupo ukumbini?
imekula kwao..KAKATWA eti...!!
Nememuona amekaa jirani na mama Salma kazeeka ghafla.!Jk amechoka kabisa anaongea kwa shida .
Membe yupo ukumbini?
Membe yupo kanyong'onyea kabisa hana hamu na jk