josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Je alijiuzia au aliwauzia wananchi wa tanzania?? bado hili haliwezi kumfanya awe na doa kama ilivyokuwa kwa lowassa au chadema na ubadhilifu wa mali za chama
Ni bora hata umuuzie mrundi kama ni kwa maslahi ya watanzania kuliko kuwauzia watanzania kwa maslahi ya wachache! CCM hakuna msafi! Unajua kinacho fanyika katika ujenzi wa bara bara? Mwenzio anachapa kwenye widith (upana wa barabara) na thickness (unene wa matabaka/ layers) kisha zidisha urefu wa bara bara husika hapo huja angalia compaction quality, etcetera