Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Je alijiuzia au aliwauzia wananchi wa tanzania?? bado hili haliwezi kumfanya awe na doa kama ilivyokuwa kwa lowassa au chadema na ubadhilifu wa mali za chama

Ni bora hata umuuzie mrundi kama ni kwa maslahi ya watanzania kuliko kuwauzia watanzania kwa maslahi ya wachache! CCM hakuna msafi! Unajua kinacho fanyika katika ujenzi wa bara bara? Mwenzio anachapa kwenye widith (upana wa barabara) na thickness (unene wa matabaka/ layers) kisha zidisha urefu wa bara bara husika hapo huja angalia compaction quality, etcetera
 
kazi bado unaweza ukashangaa magufuli hapiti. Subiri kwanza kura .
MEANDU wapi tena Magufuli hawezi pita
leo hapa Dodoma
au ni Oktoba 25/2015?
Dr Slaa ndio kajipitisha UKAWA sasa sijui na Lipumba akiingia wakutane na Magufuli ndipo nitakaposhangaa Magufuli akinyimwa kura na Watanzania
 
Jk amechoka kabisa anaongea kwa shida .
Membe yupo ukumbini?
 
Kinana ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu hakuna kabisa kama huyu UKAWA!

Nakubaliana na wewe Ukawa hawana kiongozi kama huyu ambaye busara zake ziko maporini wakati anawinda tembo. Busara zake zimezidi mpaka tembo wanamwogopa. Hongera sana Kinana katibu mkuu wetu wa ccm.
 
Labda goli la mkono lianzie hapa,mkipiga kura tu mzanzibar ndo mshindi na matokeo ni dhahiri kwa dk
 
Wajumbe wa ccm wakisikia jina la Lowasa wanashangilia kinafiki
 
mheshimiwa rais nakuomba umkumbuke mwanangu pombe...


attachment.php
 
magufuli ana kura za kanda ya ziwa zote hapo na maanisha bukoba,mwanza, mara, geita, shinyanga, tabora, kigoma jamaa ndo Rais wetu 2015-2025

Kanda ya Ziwa ni pamoja na mikoa ya Kagera, Mara, Geita, Shinyanga, Simiyu na ndugu zao wa mikoa ya Tabora na Katavi, Rukwa na Kigoma. Ukanda huu una idadi ya wapiga kura 8,641,406 au 36 % ya wapiga kura wote nchini.
 
Rais Kikwete ni mtu mwenye hasira sana na ni mtu mwenye maamuzi magumu
_kumkata jina la lowassa nayo ni maamuzi magumu
 
Mpango wa Mungu Ukawa kuingia Ikulu unaanza kukamilika sasa.
 
Mimi nasubiri Lowassa atoe tamko tu mimi nifanye yangu.Huu ni uonevu uliokithiri..I hate JK!
 
Back
Top Bottom