Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapo cdhani kama tutaletewa 5 bora. Sana sana tukiambulia ni 3 bora na yenyewe tutapewa ndani ya 1hr kabla ya kuingia mkutano mkuu. Hiyo ni technique ya kuzuia waliokatwa kupanga mageuzi kwa wajumbe.... chezea ccm wewe.
 

Sidhani kwamba ccm wanaweza kumpitisha mtu waliyekuwa wakizunguka huko na huko wakimuita fisadi na GAMBA. Haiwezi tokea na ikitokea basi ccm ni chama dhaifu kuliko tunavyodhani..!!

BACK TANGANYIKA
 
Kweli bana.mi mwenyewe huku watu wanapigiana simu 'amekatwa' 'amekatwa'.watu watapatwa na presha kesho!,,,,,,only time will tell!
 
Ama kweli Lowassa ni noma ndani ya ccm, japo simpendi lakini napenda alivyoteka siasa za Tanzania.
 
Duh tano bado kutangazwa tupo page 105 kwenye hii thread, bila shaka mpaka huu mchakato uishe tutakuwa na page zaidi ya 3000
 
Waganga wamejaa viunga vyote vya Dodoma. Sasa wanakamati wote wamechanganyikiwa.
 
 
Yaani hizi comments nacheka sana...Kwa nini msiwe wapole? Mambo yatawekwa hadharani.
 
™Ccm tuliwaeleza hatuwahitaji mkakaidi tutawakaya tu™ hamna namna unless mtupie goli LA maradona..only we need freeand fairelection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…