Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kazi sio ndogo..
 

Attachments

  • 1436553457858.jpg
    60.7 KB · Views: 672
Mpaka dakika hii moshi bado ni mweusi huko dodoma ikiashilia bado majina matano hayajapatikana

Watu kutoka maeneo mbali mbali ya nchi wameelekeza maskio na macho yao huko dodoma kuangalia kama moshi mweupe umetoka kutoka kwenye ofisi kuu za ccm mjini dodoma
 
Mpaka sasa atakuwa katenganishwa kichwa na kiwiliwili?
 

Edward Sambai naona unaleta mahaba yako na hapo hapo unachanganya na Utabiri wako halafu unadai ni tetesi za ukweli.
Kikao cha Kamati kuu ambacho ndio kinachuja majina ya wagombea wa urais wa CCM kilianza leo saa kumi jioni, sasa wewe unadai umetonywa toka asubuhi kuwa tayari Lowassa amepenya top 5, how?
 
Last edited by a moderator:
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?
 
Invisible plz pita hapa na like hii post
 
Last edited by a moderator:
by Ritz;
UKAWA mtakesha?



Ritz, UKAWA tunachochea KUNI ili mpigane na KUUANA kabsA ili october KIULAINIIIIII ukawa magogoni!

"HAKATWI MTU HAPA"!
 
Last edited by a moderator:
Moshi tena? Bila shaka baadaye utaanzisha uzi mwingine kutujuza chanzo cha moshi huo na kama kuna madhara yoyote ya kibinadamu na mazira umesababisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…