Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ametmia lugha ya picha tu....kama ww ni mkatoliki utaelewa kipindi papa anachaguliwa pale vatcan
 

mkuu kama ni kweli lowasa ndo mgombea wa urais kupitia ccm. hongera kingunge.....
 
Sio kumkata tu wahakikishe wanamzika uko uko dodoma tusione hata maiti yake
 
Kazi sio rahisi kama mnavyodhani, huenda ikatufikisha usiku wa manane.Kwa sasa tuna majina matatu,mwanamke mmoja,mzanzibar pamoja na Magufuri,endeleeni kuwa na subira.
 
Makasisi,mapadri,mashekhe,Na mitume na manabii wote akikatwa lowassa wataporomoka kihiduma na kinabii.Na majina tunawajuwa wote,wa nje na wa ndani ya tanzania.

Tumekuelewa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…