nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Sidhani kwamba ccm wanaweza kumpitisha mtu waliyekuwa wakizunguka huko na huko wakimuita fisadi na GAMBA. Haiwezi tokea na ikitokea basi ccm ni chama dhaifu kuliko tunavyodhani..!!
BACK TANGANYIKA
Lowasa akikatwa basi ntaamini Mungu hayupo
Bado tu au na siku ya leo itapita
vipi huyo mzee wa kimasai bado huko dodoma hawajamkata govi?
Waganga wamejaa viunga vyote vya Dodoma. Sasa wanakamati wote wamechanganyikiwa.
mimi nime sikia baadhi ya wajumbe nje hapa ya makao makuu kuwa wanajaribu kumshauri aliondoe mwenyewe jina.Ili kutuliza upepo wasionekane wamelikata wao.Hali ni tete kwa uamuzi wowote.Wakimkata chama kitaharibikiwa.Wakimwacha kwenye tano bora amepata na hivyo kejeli zao atazilipiza kwavyovyote vile.Mtu kama Nape ana jua akipita EL,ita bidi arudi kijijini kulima nyanya
hahahahahaaaaaaaaa daaah ni sheeeeeedaaahhhhjamaa katoka kuvuta sigara anasema muda wote walikua wanajadili video ya Kingunge na ile ya Nyerere inayohusu mgombea anayekubalika
Unawatafuta ugomvi mods?vipi huyo mzee wa kimasai bado huko dodoma hawajamkata govi?
Lowasa akikatwa basi ntaamini Mungu hayupo