Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
Kumbe hadi humo uchakachuaji upo?
 
mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
Membe keshakatwa mkuu. Makamba pia.
 
Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!

Membe ni Muislamu pia
 
Back
Top Bottom