Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kumbe hadi humo uchakachuaji upo?mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hadi humo uchakachuaji upo?mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
tetesi : lowassa kaanguka gafla
mi nnataka niskie kauli za wale manabii walotabili na kusema mamvi ni chaguo la mungu
Membe keshakatwa mkuu. Makamba pia.mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
Una uhakikaRasmi sasa top 3 ni
Magufuli
A.R Migiro
Amina Ally
na mm nikeipata hii sasa hivRasmi sasa top 3 ni
Magufuli
A.R Migiro
Amina Ally
Uhakika mkuu??Membe keshakatwa mkuu. Makamba pia.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro
Hiii umeitoa wap derimto??
Nadhani system inamtaka Magufuli
Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!