Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tako lako membe habari ya mjini
lakini uwepo wa hao wamama wawili katika hatua hiyo sio wa kuupuza hata kidogo. Inaelekea kuna agenda fulani nyuma yake. Inaweza kuwa ni bahati pia, kwa maana membe na makamba ilikuwa lazima watoke ili kutuliza hasira za makundi.BAsi Magufuli ana nafasi kubwa
Yawezekana nikweli ila kuna mchezo wa e luwasa hapo yawezekana kaamua kucheza karata yake kwa magufuli au yeyote hapo ili kulipa kisasi kwa membe
Inaonekana wewe ni mdau wa rangi ya kijani, mgombea unayemkubali ni yupi kati ya hao
Huu upuz kwa wakat huu unatoka wap tena....cc tupo dodoma bwana acha kututoa kwenye mstari
Baada ya Jina la aliyekuwa akiaminiwa na watu wengi kuwa atakuja kuwa Kiongozi mzuri ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ambayo watu wengi walianza kupoteza uaminifu haswa vijana kukatwa jina, Vijana na wasiovijana zaidi ya 10,000
wajipanga kuhamia UKAWA kutokana na utaratibu mbovu wa wanachama wa chama chicho tawala kuonekana kushindwa kufuata kanuni na taratibu za chama.
CCM go the Hell.......
Kundi hili la vijana walikuwa wameunda TEAM Lowassa, wamedai kuwa walikuwa UKAWA lakini wakahamia CCM baada ya kusikia kwamba Mhe,Lowassa anachukua Fomu.
Pia wamedai kuwa endapo lowasa atafanya maamuzi magumu na kuhamia chama chochote cha siasa,hatuna budi kuongozana naye.
Ili mradi aachane kabisa na SISIEM!!
Kama ni kweli basi itakuwa ni habari njemaHata Mimi nimesikia kupitia clouds fm soon