Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Laana hiyoUmesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana hiyoUmesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini [emoji23]
Luteni wa jeshi kilazanina uhakika asilimia nyingi tu kwamba baada ya hii kesi URIO hatakuwa na better terms kwa ndugu zake na kwenye ajira yake. kifupi jamaa ni wa kumwonea huruma sana kwa maisha yake ya baadaye. Unajua Luteni wa JWTZ kuchapwa na kina gudluck laaaah inaconfuse kichwa.
Kwanin Urio kakabidhi simu huku sim-card hakuna?Mkuu Kwan urio kafanya kosa lipi?? Jaman dua la kuku halimfikii mwewe
Yaani nadhani mtu akishakuwa kada hasa Wa ccm huwa akili inahama utakuta ni msomi mazuri lakini anachochangia hakifananiMbona ni simple tu na wewe unaleta updates zako...
Wenzio wanatafuta mashahidi waweza kwendaAlipokosea NI kujenga mipango na kamanda urio.
Hapo tu.
Hawezi rudi jeshini yule.Hapa ni kuwahurumia tu jamaa wako gerezani.kwa sasa hata wakimfunga Mbowe hakuna impact yoyote.wananchi na Chadema wataendelea na maisha na kama imeandikwa ccm kutoka madarakani muda ukifika watatoka tu.Chadema wameishazoea bila Mbowe, Lissu na Lema.Luteni wa jeshi kilaza
Privates watamuheshimu kweli[emoji2]
Hata maafisa wenzake watamkimbia jamaa snitch sana
Sijawai kukutana na Boniphace Mjinga Mjinga Kama wewe.. Unaongea utumboMkuu urio karb 95% ya alichokutana nacho alikuwa anakijua zaidi ya alivyo kieleza, na ndo maana ktk re- examination, Wala hakuuliza maswal mengi, ndo ujue Sasa sheria Ni tactics and technical.. Ni Kama kibatala ameingia Cha kike bila kujua
Hili jibu linamfaa sana huyu jamaaUza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
Mama yako hawez kumlipa?Hivi Mh. Kibatala hana mtu anaweza kumlipia kwenda kozi fupi ya kudodosa- maana ni ZERO KABISA
Bahati mbaya ni marehemu- Pole; pendekezo lingineMama yako hawez kumlipa?
Kwani sabaya kafungwa kisiasa au jinai na makosa. Amefanya nje ya kazi Yake kwanza uhalifu Wa mkoa mwingine Wa kazi Yake au wewe ni wale ambao hawajui kutofautisha arusha na Kilimanjaro sabaya mwalifu kama mwalifu mwingineYaani hapo ndio unaona umecheza mind games kishenzi, tunataka Mbowe afungwe kama Sabaya maana tunajua tofauti ya haya mambo.
Probably washajua ndio maana kibatala kauliza kuhusu jamaa kuwa kwenye active duty na kama wanaweza ku confirm hilo kupitia "Roaster" au somethng like thatBahati mbaya akina Kibatala hawajui huyo Shahidi Hana mshahara tangu October 2020.
Wamuulize hiyo maana tunamuonea huruma
HII HAJAKUWA EDITED WALA HAINA UCHADEMAHabari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022
UPDATES
04:00 Jaji ameingia....
Yes. Kibatala hakutaka kuingia sana ndani. Labda sheria hairuhusu kuhoji sana private issues. Lakini kaweka foundation ambayo anaweza baadaye akaleta ushahidi wa kumbana zaidi Urio.Probably washajua ndio maana kibatala kauliza kuhusu jamaa kuwa kwenye active duty na kama wanaweza ku confirm hilo kupitia "Roaster" au somethng like that
Tupe cv yako mkuu..maana hata akinda wakili kidando na chavula nao wana uzoefu wa kutosha ila ndio hivyo ukiwapima na wenzao wa utetez unaona kabisa mizani ya ujuzi na uzoefu inaegamia wapi?.so uzoef si kitu kipya sana wala hakikupi relevance ya kuaminika all the timeNina uzoefu wa kutosha najua namaanisha nini.
Wewe ni mmoja wa wanaopata mabando huko Lumumba kuandika ujinga humu. Shitaka ni kula njama kutenda ugaidi, kwa ushahidi uliotolewa na informer Luteni Urio, umeona kiashiria Cha ugaidi? Meseji zote haziongelei ugaidi, ni nauli na fidia ya nauli walizotumia wale vijana. Hakuna magogo yaliyokatwa kuzuia barabara, au vifaa vya kukatia. Hakuna soko lililochomwa, Wala vilipuzi. Sasa huo ugaidi utaelezwa lini kuthibitisha charge sheet isemavyo?Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,
Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
Wale wengine ipo wazi siyo magaidi ... anayetafutwa hapo ni Mbowe.Siyo tu mbowe kuwa siyo gaidi Bali iwe kwa wote kuwa siyo magaid kumpendelea mbowe peke ake siyo sahii
Kwani sabaya kafungwa kisiasa au jinai na makosa. Amefanya nje ya kazi Yake kwanza uhalifu Wa mkoa mwingine Wa kazi Yake au wewe ni wale ambao hawajui kutofautisha arusha na Kilimanjaro sabaya mwalifu kama mwalifu mwingine
Jifunze namna ya kuanzisha thread kijana naona threads zako mods wanazifuta kwakuwa unaandika ujinga ujinga mwingi.Hahahahah naona kama unasema kinyume chake- ona Mh. Kibatala alivyochanganikiwa
Kibatala: Unafahamu Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi kwenye viwanja vya bunge ?
Shahidi: Sifahamu.
Kama wewe ni mtaalam kweli, na naomba niamini wewe ni Mtaalam, huwezi kusuggest Key Witness aulizwe maswali mawili matatu wakati upande wa mashtaka ulimleta kama silaha ya maangamizi. Sijaona swali jepesi Kati ya maswali aliyoulizwa labda Yale yaliyolenga kumtoa Shahidi relini kama lile la kuletewa Mtoto wake akiwa mahabusu na yeye akaprovoke na kuuliza "Who are you by the way?" Swali kama ulionana na DCI tarehe ngapi hulioni umuhimu wake wakati mashahidi wote wameshindwa kulijibu? Swali ulionana na DCI wapi hulioni uzito wake wakati unajua Wazi 2020 ofisi zote zilishahamia Dodoma? Swali umetokea wapi kuja hapa na yeye kujieleza kwamba anachukuliwa na Mawakili kuletwa mahakamani huoni uzito wake?Siongelei ushabiki mkuu nazungumza kama mtaalam.
Hayo maswali hayalengi kuextract relevant information toka kwa shahidi ni kama wanapiga nae stori tu .
Maswali machache tu yangetosha.