Duh,hiyohiyo itakata na miti pia kuchoma vto mafuta cheza cz100 wewe.Kwa mujibu wa waendesha mashtaka, ile bastola na risasi tatu ni silaha ya kufanyia ugaidi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha....
Mi namsubiria Sirro tu, maana yeye ndo alisema wana ushahidi mzito sanaKaandaeni shahidi mwengine huko aje maana bila ya hivyo hamna uwezo wa kumshinda mbowe hata sikumoja.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
nimeshindwa kufigure out huyu wa leo what point was he trying to drive home?Kuna mtu humu JF ananeno lake anasema huu ni weledi wa kitanzania. Lengo la kumleta huyu shahidi wa leo ni lipi haswa? kama yeye si wa fingerprint wamlete huyo wa fingerprint, sio hizi story za leo.
kukalilishwaWakili wa Serikali: Uliulizwa swali kwamba Katika Ushahidi wako wote hujataja Jina la Silaha aliyekamatwa nazo, Kwanini hukutaja
Shahidi: Kwanza sijui Adamoo
JAJI: mmeleta Kitu Kipya
Nafikiri ndugu shahidi aliulizwa na kibatala kuhusu Adam kusekwa na si adamoo,je adamoo kaitoa wapi???
Masoud Great Thinker!!Hyo katuni Inaweza amsha mambo!Please ameshika shoka sjui anataka kulitumia kufany nini. Nchi yangu hii Sjui tunakoelekea wapi???!!
Yan utasema yuko kwenye usahili wa kazi..!duh..ila hata wale makomando wa mbowe nao walikua wanajiachia hiv hiv kwenye keai ndogo..kuimba kupokezana..ila jamaa kanichosha hata kusomaMbona huu ushahidi wa huyu shahidi wa 3 tatu ni kama anaelezea background yake tu?
Unafanya kazi gani kanisani?kukalilishwa
Huwezi kuwa msaidizi wa Padre usiwe mkatoliki, NEVER!Unafanya kazi gani kanisani?
Mimi ni msaidizi wa padre
Wewe ni mkatoliki?
Hapana, mimi sina dini
Nadhani anataka kutupruvia kuwa bastola yenye risasi tatu inaweza kufanya ugaidi, kutakatisha fedha na kuuza madawa ya kulevya...nimeshindwa kufigure out huyu wqa leo what point was he trying to drive home?
Umenichekesha mpaka machozi, yaani unafaa kuwa mtunga script. Thank youMaswali ya mahakamani bwana, be like
Wakili: Ulikula nini?
Shahidi: Nilikula ugali na dagaa.
Wakili: Unaweza kuelezea mahakama ulivyokula?
Shahidi: ndio, nilimega tonge.
Wakili: enhee ulimega kubwa dogo?
Shahidi: kubwa.
Wakili: enhee kilichofuata
Shahidi: nikaweka mdomoni.
Wakili: ndio, nini kikafuatia?
Shahidi: nikaanza kutafuna.
Wakili: baada ya kutafuna?
Shahidi: nikameza.
Wakili: lakini hukuelezea kama ulinawa.
Shahidi: ni kweli sikuelezea, lakini nilinawa.
Wakili: hukuelezea pia kama ulitoezea kwenye mboga.
Shahidi: ni kweli nilitoezea lakini nilisahau kusema.
Wakili: dagaa walikuwa wa mchuzi au wakavu?
Shahidi: wakavu, waliokaangwa.
Wakili: sasa mbona unatuchanganya? Unawezaje kutooezea tonge tena kubwa kwenye dagaa waliokaangwa?
Shahidi: sifahamu.
Jaji: usiseme hufahamu, sasa hufahamu una maanisha nini?
Shahidi: sikumbuki kama walikuwa wa mchuzi au wakavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakamani kama unatoa ushahidi wa uongo, lazima wakutafute uingie kwenye 18 tu, la sivyo uwe very smart na mwenye kumbu kumbu sana, halafu kila unalojibu watarejea jibu lako baadae..
Lakini hata kumuangamiza mwenzio kisa uongo, malipo ni humu humu duniani tu.
Ndugu zangu tujifunze kwa hiki kinachoendelea, tusiwe waongo..
Lakini shahidi mkweli ni ngumu mno akatoa ushahidi wenye kuitia mahakama shaka, mkweli huiondoa mahakama shaka..
Ndugu zangu uongo ni mbaya sana, unaweza kukufunga na kukuteketeza kabisa, vitabu vyetu vya dini vinapinga na kulaani watu waongo..
Methali 19:9- Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa;asemaye uongo ataangamia
huanza masomo mkuu na kuna kozi mtu huzisomea akiwa kazini pia maajabu yako ivi kuna kozi za kijeshi mtu hufundishwa akiwa raia maana shaid kasema kazi kaanza 2013 lakin kuna kozi za silaha kazisoma 2004,2006 hadi na 2010 plz rudia mahojiano yake na wakili wa serikali naruhusu kukosolewa maana najifunza pia.
Maswali ya mahakamani bwana, be like
Wakili: Ulikula nini?
Shahidi: Nilikula ugali na dagaa.
Wakili: Unaweza kuelezea mahakama ulivyokula?
Shahidi: ndio, nilimega tonge.
Wakili: enhee ulimega kubwa dogo?
Shahidi: kubwa.
Wakili: enhee kilichofuata
Shahidi: nikaweka mdomoni.
Wakili: ndio, nini kikafuatia?
Shahidi: nikaanza kutafuna.
Wakili: baada ya kutafuna?
Shahidi: nikameza.
Wakili: lakini hukuelezea kama ulinawa.
Shahidi: ni kweli sikuelezea, lakini nilinawa.
Wakili: hukuelezea pia kama ulitoezea kwenye mboga.
Shahidi: ni kweli nilitoezea lakini nilisahau kusema.
Wakili: dagaa walikuwa wa mchuzi au wakavu?
Shahidi: wakavu, waliokaangwa.
Wakili: sasa mbona unatuchanganya? Unawezaje kutooezea tonge tena kubwa kwenye dagaa waliokaangwa?
Shahidi: sifahamu.
Jaji: usiseme hufahamu, sasa hufahamu una maanisha nini?
Shahidi: sikumbuki kama walikuwa wa mchuzi au wakavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakamani kama unatoa ushahidi wa uongo, lazima wakutafute uingie kwenye 18 tu, la sivyo uwe very smart na mwenye kumbu kumbu sana, halafu kila unalojibu watarejea jibu lako baadae..
Lakini hata kumuangamiza mwenzio kisa uongo, malipo ni humu humu duniani tu.
Ndugu zangu tujifunze kwa hiki kinachoendelea, tusiwe waongo..
Lakini shahidi mkweli ni ngumu mno akatoa ushahidi wenye kuitia mahakama shaka, mkweli huiondoa mahakama shaka..
Ndugu zangu uongo ni mbaya sana, unaweza kukufunga na kukuteketeza kabisa, vitabu vyetu vya dini vinapinga na kulaani watu waongo..
Methali 19:9- Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa;asemaye uongo ataangamia
Mi namsubiria Sirro tu, maana yeye ndo alisema wana ushahidi mzito sana
Yaani Waafrika ni shida tupu. Yaani Mwaafrika akishindwa kuelezea maana ya kiingereza inakuwa ni kicheko na inaanzishiwa thread hapa JF!! Ujinga mtupu!
Hivyi waziri aliposema wanatakiwa was div.four anamaanisha ndo haohao wanajizana maswali na jamaa wenye masters of law?Sasa polisi anaulizwa unajua kesi ya ugaidi ni kubwa au ndogo?
Anajibu... sijui
Polisi hajui kama kesi ya ugaidi ni kubwa?????
Hawa ndio wale wa division 4 ya 32?
Moja ajitolee kutusaidia kujua uhusiano wa Mzee wa vilipuzi na jambazi saa mbaya. Kwani hapa naona kama Kuna kutengenezwa ubambikiaji unaoweza kuasisiwa na timu bambikizi Ili dereva aweza kuwa Ile saa mbovu, kabla ya kuwekwa nyavuni.Kwa mujibu wa Shahidi:
Terrorist= Ugaidi
Terrorism= Utalii
Kwenu wajuvi wa lugha ya malkia, Ni dictionary gani inasema hivi?View attachment 1991032View attachment 1991034