Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Wakili wa Serikali: Uliulizwa swali kwamba Katika Ushahidi wako wote hujataja Jina la Silaha aliyekamatwa nazo, Kwanini hukutaja

Shahidi: Kwanza sijui Adamoo

JAJI: mmeleta Kitu Kipya

Nafikiri ndugu shahidi aliulizwa na kibatala kuhusu Adam kusekwa na si adamoo,je adamoo kaitoa wapi???
kukalilishwa
 
Ilo shoka kwa ajili yakumsaizi/kumkata vipande ili awez kuingizwa kwenye freji kwa lazma.
Masoud Great Thinker!!Hyo katuni Inaweza amsha mambo!Please ameshika shoka sjui anataka kulitumia kufany nini. Nchi yangu hii Sjui tunakoelekea wapi???!!
 
Mbona huu ushahidi wa huyu shahidi wa 3 tatu ni kama anaelezea background yake tu?
Yan utasema yuko kwenye usahili wa kazi..!duh..ila hata wale makomando wa mbowe nao walikua wanajiachia hiv hiv kwenye keai ndogo..kuimba kupokezana..ila jamaa kanichosha hata kusoma
 
Hahaha leo nmefurahshwa maswali na majibu ya mwanasheria malya na shahidi.
 
Kwa mujibu wa Shahidi:
Terrorist= Ugaidi
Terrorism= Utalii

Kwenu wajuvi wa lugha ya malkia, Ni dictionary gani inasema hivi?
IMG_20211029_171737.jpg
IMG_20211029_171824.jpg
 
Unafanya kazi gani kanisani?

Mimi ni msaidizi wa padre

Wewe ni mkatoliki?

Hapana, mimi sina dini
Huwezi kuwa msaidizi wa Padre usiwe mkatoliki, NEVER!
unaweza usiwe mkatoliki lakini ukawa mfanya usafi , mpishi wa Padre, not otherwise!
 
nimeshindwa kufigure out huyu wqa leo what point was he trying to drive home?
Nadhani anataka kutupruvia kuwa bastola yenye risasi tatu inaweza kufanya ugaidi, kutakatisha fedha na kuuza madawa ya kulevya...

Washtakiwa wako wanne... Kila mmoja angetumia risasi moja chini ya Usimamizi wa Mbowe

Nadhani hiyo ndio ilinunuliwa na ile laki sita wanayosema ilifadhiliwa na Mbowe
 
Maswali ya mahakamani bwana, be like

Wakili: Ulikula nini?

Shahidi: Nilikula ugali na dagaa.

Wakili: Unaweza kuelezea mahakama ulivyokula?

Shahidi: ndio, nilimega tonge.

Wakili: enhee ulimega kubwa dogo?

Shahidi: kubwa.

Wakili: enhee kilichofuata

Shahidi: nikaweka mdomoni.

Wakili: ndio, nini kikafuatia?

Shahidi: nikaanza kutafuna.

Wakili: baada ya kutafuna?

Shahidi: nikameza.

Wakili: lakini hukuelezea kama ulinawa.

Shahidi: ni kweli sikuelezea, lakini nilinawa.

Wakili: hukuelezea pia kama ulitoezea kwenye mboga.

Shahidi: ni kweli nilitoezea lakini nilisahau kusema.

Wakili: dagaa walikuwa wa mchuzi au wakavu?

Shahidi: wakavu, waliokaangwa.

Wakili: sasa mbona unatuchanganya? Unawezaje kutooezea tonge tena kubwa kwenye dagaa waliokaangwa?

Shahidi: sifahamu.

Jaji: usiseme hufahamu, sasa hufahamu una maanisha nini?

Shahidi: sikumbuki kama walikuwa wa mchuzi au wakavu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mahakamani kama unatoa ushahidi wa uongo, lazima wakutafute uingie kwenye 18 tu, la sivyo uwe very smart na mwenye kumbu kumbu sana, halafu kila unalojibu watarejea jibu lako baadae..
Lakini hata kumuangamiza mwenzio kisa uongo, malipo ni humu humu duniani tu.

Ndugu zangu tujifunze kwa hiki kinachoendelea, tusiwe waongo..

Lakini shahidi mkweli ni ngumu mno akatoa ushahidi wenye kuitia mahakama shaka, mkweli huiondoa mahakama shaka..

Ndugu zangu uongo ni mbaya sana, unaweza kukufunga na kukuteketeza kabisa, vitabu vyetu vya dini vinapinga na kulaani watu waongo..

Methali 19:9- Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa;asemaye uongo ataangamia
Umenichekesha mpaka machozi, yaani unafaa kuwa mtunga script. Thank you
 
Professional coz zote za kijeshi/kipolisi lazma usomee ukiwa ndan ya ajira

Uwe kusomea mambo ya silaha Tz hii wakt wew sio askari na hata ukiw askari lazm uchaguliwe na usomeshwe hizo coz na serikali

Labda mataifa mengne

huanza masomo mkuu na kuna kozi mtu huzisomea akiwa kazini pia maajabu yako ivi kuna kozi za kijeshi mtu hufundishwa akiwa raia maana shaid kasema kazi kaanza 2013 lakin kuna kozi za silaha kazisoma 2004,2006 hadi na 2010 plz rudia mahojiano yake na wakili wa serikali naruhusu kukosolewa maana najifunza pia.
 
[emoji16][emoji16][emoji2]
Maswali ya mahakamani bwana, be like

Wakili: Ulikula nini?

Shahidi: Nilikula ugali na dagaa.

Wakili: Unaweza kuelezea mahakama ulivyokula?

Shahidi: ndio, nilimega tonge.

Wakili: enhee ulimega kubwa dogo?

Shahidi: kubwa.

Wakili: enhee kilichofuata

Shahidi: nikaweka mdomoni.

Wakili: ndio, nini kikafuatia?

Shahidi: nikaanza kutafuna.

Wakili: baada ya kutafuna?

Shahidi: nikameza.

Wakili: lakini hukuelezea kama ulinawa.

Shahidi: ni kweli sikuelezea, lakini nilinawa.

Wakili: hukuelezea pia kama ulitoezea kwenye mboga.

Shahidi: ni kweli nilitoezea lakini nilisahau kusema.

Wakili: dagaa walikuwa wa mchuzi au wakavu?

Shahidi: wakavu, waliokaangwa.

Wakili: sasa mbona unatuchanganya? Unawezaje kutooezea tonge tena kubwa kwenye dagaa waliokaangwa?

Shahidi: sifahamu.

Jaji: usiseme hufahamu, sasa hufahamu una maanisha nini?

Shahidi: sikumbuki kama walikuwa wa mchuzi au wakavu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mahakamani kama unatoa ushahidi wa uongo, lazima wakutafute uingie kwenye 18 tu, la sivyo uwe very smart na mwenye kumbu kumbu sana, halafu kila unalojibu watarejea jibu lako baadae..
Lakini hata kumuangamiza mwenzio kisa uongo, malipo ni humu humu duniani tu.

Ndugu zangu tujifunze kwa hiki kinachoendelea, tusiwe waongo..

Lakini shahidi mkweli ni ngumu mno akatoa ushahidi wenye kuitia mahakama shaka, mkweli huiondoa mahakama shaka..

Ndugu zangu uongo ni mbaya sana, unaweza kukufunga na kukuteketeza kabisa, vitabu vyetu vya dini vinapinga na kulaani watu waongo..

Methali 19:9- Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa;asemaye uongo ataangamia
 
Sasa polisi anaulizwa unajua kesi ya ugaidi ni kubwa au ndogo?

Anajibu... sijui

Polisi hajui kama kesi ya ugaidi ni kubwa?????

Hawa ndio wale wa division 4 ya 32?
Hivyi waziri aliposema wanatakiwa was div.four anamaanisha ndo haohao wanajizana maswali na jamaa wenye masters of law?

Au Kuna wengine?
 
Watuhumiwa wanarudi rumande,
Jaji na mawakili wanakwenda kulala majumbani mwao.[emoji848][emoji848]
 
Kwa mujibu wa Shahidi:
Terrorist= Ugaidi
Terrorism= Utalii

Kwenu wajuvi wa lugha ya malkia, Ni dictionary gani inasema hivi?View attachment 1991032View attachment 1991034
Moja ajitolee kutusaidia kujua uhusiano wa Mzee wa vilipuzi na jambazi saa mbaya. Kwani hapa naona kama Kuna kutengenezwa ubambikiaji unaoweza kuasisiwa na timu bambikizi Ili dereva aweza kuwa Ile saa mbovu, kabla ya kuwekwa nyavuni.
 
Back
Top Bottom