Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Kama ikiwezekana defense wangejaribu to determine ownership of the firearm kutoka kwa manufacturer. Ie where was sold and to whom. You might find it originated from some armoury
Heri hebu nisaidie, hivi mahojiano ya leo yalilenga nini /kuthibitisha nini kwa prosecution? sikuona yalivyoulizwa kama yalilenga kum iplicate mtu na possesson ya silaha etc
 
Sio kweli,wajinga wengi ndio mnajificha kwenye matokeo mazuri.

Mwerevu utamjua kwenye kitu positive anachofanya kwenye jamii sio kwenye makaratasi.

Ndio maana tuna watu kama Bill Gates,na yule Chinese richest man, they don t have good grades!

Mbowe ni Habari nyingine when it comes to successful people kupitia biashara na siasa!

Wewe ata familia yako hawajui ulichowatendea achilia mbali mtaani!

Mbowe ni ten times greater than all people in your clan combined...
Kunywa Cappuchino, nitalipa.
 
kaka ukitaka kujua mtu ni mwerevu ama famba wala usihangaike wewe angalia matokeo yake ya kidato cha nne na sita tu.
Sio kweli,wajinga wengi ndio mnajificha kwenye matokeo mazuri.

Mwerevu utamjua kwenye kitu positive anachofanya kwenye jamii sio kwenye makaratasi.

Ndio maana tuna watu kama Bill Gates,na yule Chinese richest man!

Mbowe ni Habari nyingine when it comes to successful people kupitia biashara na siasa!

Wewe ata familia yako hawajui ulichowatendea achilia mbali mtaani!

Mbowe ni ten times greater than all people in your clan
Terrorist ni masuala ya ugaidi.
Terrorism...ugaidi

Terrorist...gaidi
 
Lazima tukiri wazi kuwa wilaya ya Hai ilihifadhi watu hatari sana kwa taifa letu ambao ni kibaka maarufu Sabaya na gaidi Mbowe.

Sabaya keshakula mvua 30 za kukaa nyuma ya nondo.

Sasa tunaisubiri kwa hamu hukumu ya gaidi Mbowe naye akanyee ndoo mpaka kifo.

Yaani tunataka mambo yaende fasta kabla hata ya krismas tuwe tushasheherekea na kudemka vya kutosha.

😁😁😁"Mama anaupiga mwingi" (in Malisa GJ's voice)🥰🥰🥰🤭🤭🤭
 
Kama terrorism ni masuala ya utalii basi mbowe anahusika maana anahoteli ya watalii pale hai.

Huyu atakuwa amesoma kuliko kingai na mahita!!! Askari tegemeo lao na msomi wao wakimataifa.
Kama polisi msomi mtaalam wa silaha hajui tofauti ya tourisms na terrorism badi kazi tunayo!!! Fomfo feliaz hao

jamaa kaanza kazi 2013 alafu uzoefu miaka 18.

kaulizwa una maana uzoezi wako miaka 18 !

shaidi:nilianza hata kabla sijaanza kazi
 
Sio kweli,wajinga wengi ndio mnajificha kwenye matokeo mazuri.

Mwerevu utamjua kwenye kitu positive anachofanya kwenye jamii sio kwenye makaratasi.

Ndio maana tuna watu kama Bill Gates,na yule Chinese richest man!

Mbowe ni Habari nyingine when it comes to successful people kupitia biashara na siasa!

Wewe ata familia yako hawajui ulichowatendea achilia mbali mtaani!

Mbowe ni ten times greater than all people in your clan

Terrorism...ugaidi

Terrorist...gaidi
masuala ya utaliii 😀😀😀😀😀
 
leo kweli nimelewa uwezo wa polisi hata walio kuwa ngazi za juu kuwa ni tatizo ndani ya jeshi !

Sio kweli,wajinga wengi ndio mnajificha kwenye matokeo mazuri.

Mwerevu utamjua kwenye kitu positive anachofanya kwenye jamii sio kwenye makaratasi.

Ndio maana tuna watu kama Bill Gates,na yule Chinese richest man!

Mbowe ni Habari nyingine when it comes to successful people kupitia biashara na siasa!

Wewe ata familia yako hawajui ulichowatendea achilia mbali mtaani!

Mbowe ni ten times greater than all people in your clan

Terrorism...ugaidi

Terrorist...gaidi
Terrorism ni utalii wa maabara ya ugaidi(Terrorist) K vant zitamkoma huyu jamaa leo.🤸🤸🤸
 
Kama terrorism ni masuala ya utalii basi mbowe anahusika maana anahoteli ya watalii pale hai.

Huyu atakuwa amesoma kuliko kingai na mahita!!! Askari tegemeo lao na msomi wao wakimataifa.
Kama polisi msomi mtaalam wa silaha hajui tofauti ya tourisms na terrorism badi kazi tunayo!!! Fomfo feliaz hao
Huyu the highest promotion he deserves ni kulinda mageti ya viongozi nothing more nothing less! Kinyume chake ni bingwa wa milipuko na silaha; ha ha ha! Hii nchi raha sana!
 
Wanajamii, mbona mnajua mambo mengi wengine hatuambizani, mnatutakia mema kweli naona hamtaki tuwe wasomi kama nyie. Mimi leo ndio nimejifunza kuwa Terrorism ni maswala ya UTALII mi sikujua mwenzenu mim ni darasa la 7 mjue. kabisa kabisa sikusoma
 
Back
Top Bottom