Good for you!!Mshtakiwa No. 2 kaipa mwanya Serikali, kawega ugumu wa kesi kwa Mbowe, amedhiilisha kuwa wamekaririshwa tena akihojiwa na wakili wake! Wampange vizuri ama sivyo upande wa mashtaka watakapo mchalange atayumba sana.
Hiki kituo ni kwa kazi maalum !! kimya kimya wanaume wanalia aisee !!Shahidi: Siku inayofuata nikiwa kwenye Cello siku inayofuata nikasikia Kilio, nikachungulia Kule Nyuma nikaona watu niliiokuwa nao Depo JKT , TPDF na 92KJ Komandoo (Wadepo wangu)
😁😁😁Wakili wa Serikali: Wewe huwa unatesa watu.?
Shahidi: Sijawahi
Wakili wa Serikali: Ukiwa umekamata Adui ukamfunga Pingu utakuwa umemtesa
Shahidi: Utakuwa hujamtesa, Ndiyo maana umemuita Adui
Huwezi kuelewa maana akili zako haziko kichwaniikikuumiza sana chomoa.
Mkuu asingefukuzwa kazi- it costs to train a special force.Does it persist lifetime? Alitibiwa siyo? Nini maana ya kutibowa? Meaning healing or some relief.....
Usiseme tu shahidi, sema yule shahidi kibaka.
Imekula kwenu- wnafungwa hao watu si kwa uonevu bali kwa ushahidi usio na chembe ya mashakawenzako wanakesha wanakariri PGO wewe unazurura humu JF.
Hadi Hangaya?Hakuna mwanaccm mcha Mungu
Bado najiuliza serikali wanafaidika vipi na hii kesi?
Ila sheria inataka mtuhumiwa afikishwe mahakamani 24hrs baada ya kukamatwa au 48hrs baada ya kukamatwa katika mazingira maalumuwakililzwa watamwambia Jaji kwamba bado walikuwa wanakusanya upelelezi, sheria za nchi yetu hazijaweka time limit ipi upelelezi uwe umekamilika - hapa ndipo tatizo lilipo.
Unaweza kukamatwa leo na upelelezi ukaendelea hata miaka 2.
Kumweka mtu ndani muda na kumtisha yeyote anayeungana naye katika kutofautiana nao kimawazo kuhusu Katiba mpya nk. Wameteseka wengi tatizo hizizama za kidigitali mambo yanakuwa hadharani sio sirini kama zamaniBado najiuliza serikali wanafaidika vipi na hii kesi?
tunaitangazia dunia nzima kwamba sisi Tanzania tuna vikundi vya kigaidi... huku tukiwaita watalii waje kuushuhudia kwa macho, hata majirani zetu wanatushangaa kweli kweli.Itabaki kwenye kumbukumbu Kama Kari mashuhuri ya ugaidi Mbowe dhidi ya jamuhuri... Aibu nikuwa inadhihirika wazi jinsi polish wanavyotesa bila huruma na mawakili wa sirikali wanatetea manana yake sirikali inaunga mkono ukatili wa kutweza binadamu kiwango hiki!!!
Dipipi angejaaliwa akili saafi angefuta huu uchafu maana nikulidhalilisha taifa na matumizi mabaya ya muda na fedha za serikali.
Denis adhabu yake ni kushiriki kuwatafutia kazi hawa jamaa zake sababu walikuwa mtaani wanasota !! akaunganishwa kupigwa kichapo.Mimi nilidhan Denis urio alikua ndumilakuwili, kumbe naye alichezea kichapo akalazimishwa kwa nguvu ,
Kuna haja mkuu wa majeshi atueleze, inakuwaje watu wake wapitie mambo mazito af yeye amekaa kimya, au ndo walewale?!
Ila ni wapuuzi sana, kumbe jamaa walikuwa hata kazi ya kumlinda Mbowe hawajaanza? Mi bado najiuliza sijui watathibitisha vipi huo ugaidi zaidi ya yale maelezo ya kulazimisha.Mmmh Kingai na genge lake Wana tatizo kwenye ubongo ngoja tuone mwisho wa hii kesi ya kubumba!
😳😳Siasa za kihasimu zimekutawala sana...Hakuna mwanaccm mcha Mungu