Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Mshtakiwa No. 2 kaipa mwanya Serikali, kawega ugumu wa kesi kwa Mbowe, amedhiilisha kuwa wamekaririshwa tena akihojiwa na wakili wake! Wampange vizuri ama sivyo upande wa mashtaka watakapo mchalange atayumba sana.
Good for you!!
 
Shahidi: Siku inayofuata nikiwa kwenye Cello siku inayofuata nikasikia Kilio, nikachungulia Kule Nyuma nikaona watu niliiokuwa nao Depo JKT , TPDF na 92KJ Komandoo (Wadepo wangu)
Hiki kituo ni kwa kazi maalum !! kimya kimya wanaume wanalia aisee !!
 
Wakili wa Serikali: Wewe huwa unatesa watu.?
Shahidi: Sijawahi
Wakili wa Serikali: Ukiwa umekamata Adui ukamfunga Pingu utakuwa umemtesa
Shahidi: Utakuwa hujamtesa, Ndiyo maana umemuita Adui
😁😁😁
 
wakililzwa watamwambia Jaji kwamba bado walikuwa wanakusanya upelelezi, sheria za nchi yetu hazijaweka time limit ipi upelelezi uwe umekamilika - hapa ndipo tatizo lilipo.

Unaweza kukamatwa leo na upelelezi ukaendelea hata miaka 2.
Ila sheria inataka mtuhumiwa afikishwe mahakamani 24hrs baada ya kukamatwa au 48hrs baada ya kukamatwa katika mazingira maalumu
 
Itabaki kwenye kumbukumbu Kama kesi mashuhuri ya ugaidi Mbowe dhidi ya jamhuri...
Aibu nikuwa inadhihirika wazi jinsi polish wanavyotesa bila huruma na mawakili wa sirikali wanatetea maana yake sirikali inaunga mkono ukatili wa kutweza binadamu kiwango hiki!!!
Dipipi angejaaliwa akili saafi angefuta huu uchafu maana nikulidhalilisha taifa na matumizi mabaya ya muda na fedha za serikali.
 
Bado najiuliza serikali wanafaidika vipi na hii kesi?
Kumweka mtu ndani muda na kumtisha yeyote anayeungana naye katika kutofautiana nao kimawazo kuhusu Katiba mpya nk. Wameteseka wengi tatizo hizizama za kidigitali mambo yanakuwa hadharani sio sirini kama zamani
 
Itabaki kwenye kumbukumbu Kama Kari mashuhuri ya ugaidi Mbowe dhidi ya jamuhuri... Aibu nikuwa inadhihirika wazi jinsi polish wanavyotesa bila huruma na mawakili wa sirikali wanatetea manana yake sirikali inaunga mkono ukatili wa kutweza binadamu kiwango hiki!!!
Dipipi angejaaliwa akili saafi angefuta huu uchafu maana nikulidhalilisha taifa na matumizi mabaya ya muda na fedha za serikali.
tunaitangazia dunia nzima kwamba sisi Tanzania tuna vikundi vya kigaidi... huku tukiwaita watalii waje kuushuhudia kwa macho, hata majirani zetu wanatushangaa kweli kweli.
 
Mimi nilidhan Denis urio alikua ndumilakuwili, kumbe naye alichezea kichapo akalazimishwa kwa nguvu ,

Kuna haja mkuu wa majeshi atueleze, inakuwaje watu wake wapitie mambo mazito af yeye amekaa kimya, au ndo walewale?!
 
Mimi nilidhan Denis urio alikua ndumilakuwili, kumbe naye alichezea kichapo akalazimishwa kwa nguvu ,

Kuna haja mkuu wa majeshi atueleze, inakuwaje watu wake wapitie mambo mazito af yeye amekaa kimya, au ndo walewale?!
Denis adhabu yake ni kushiriki kuwatafutia kazi hawa jamaa zake sababu walikuwa mtaani wanasota !! akaunganishwa kupigwa kichapo.
 
Mmmh Kingai na genge lake Wana tatizo kwenye ubongo ngoja tuone mwisho wa hii kesi ya kubumba!
 
Back
Top Bottom