Huyu demu atakua demu wa afande jumanne tuKesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine...
Adhabu waliyopata kwenye PGO imesababisha haya yote.Hawa mashahidi wanawatoa wapi...
toka lini askari anakamata mtu anamfanyia upekuzi then anamuonyesha raia silaha aliyomkuta nayo jambazi mpaka namba!....ili iweke na kwa malengo yapi...?
yaani ninachoka tu hapa .... wauza vilabu vya mbege ndiyo wanaohusika kutoa ushahidi wa kesi ya ugaidi ... Osama RIP na Dr. AL zhakawi na mullah Omar wanawaona ... watu wa ugaidi walipelekwa Kwenye mafunzo ya kuendesha ndege nyinyi mnawapeleka kwenye vilabu vya mbegeUnatafakari Nini sasa na hizi kesi za mbege?
Au labda Kuna kesi gani wapinzani waliwahi kufungwa na hukumu zao zikasimama? Namaanisha baada ya rufaa Ni hukumu gani ilithibitishwa kuwa Ni ya haki, nitajie moja tu mkuu.
KWA HIYO HUYU NDIYE HUWAUZIA MBEGE AKINA SIRRO NA KINGAI? AU MBEGE NI KISINGIZIO TU, ILA KUNA KINGINE HUFANYA NA AKINA SIRRO NA KINGAI?Huyu anatanyooshwa leoView attachment 1994442View attachment 1994443
Mtobesya ame mark hiyo discrepancy? goodMaelezo ya shahidi kwenye statement na mahakamani anavyoelezea anajipinga mwenyewe
Mahakamani anasema alikuta kete 25 wakati kwenye statement kasema kete 21
Hawezi kusahau hapoMtobesya ame mark hiyo discrepancy? good
Kwani kuna tofauti ipi kati ya Makumbusho na kijitonyama? Au Ilala Bungoni na Boma?Ni RAU sio URU bwashee.
Kwani kuna tofauti ipi kati ya Makumbusho na kijitonyama? Au Ilala Bungoni na Boma?
Seems maelezo ya huyu Malaya ni tofauti na Yale aliyoyaandika, significant difference indeed, ambayo itafanya ushahidi wake uwe discarded Kama Jaji ataepuka U_SIYANIHawezi kusahau hapo
Ukifika hapo msalimie muuza mbege. Muulize kama huwa anawauzia akina Kingai mbege peke yake au n.kDecember nitatembelea URU MADUKANI. Pisi Kali vile!!!!
Huyu nae poyoyo! Na huyu shahidi yaani RAIA wa kawaida akazikariri faster hadi Leo?Wakili wa Serikali: Halafu
Shahidi: akatuonyesha namba
Wakili wa Serikali: Zilikuwa ni namba gani.?
Shahidi: A5340
Wakili wa Serikali: Zilikuwa kwenye nini
Shahidi: Kwenye Bastola
Rau ni sehemu ya UruKwani kuna tofauti ipi kati ya Makumbusho na kijitonyama? Au Ilala Bungoni na Boma?
Yaani navuta picha eneo la kamatakamata huyu Kingai kahesabu na kete na kampa idadi Shahidi! Nyoko kweli. Ushahidi wa kipuuzi namna hii ni kuporezeana mudaShahidi: Akaendelea na Upekuzi, alipofika Upande wa Kulia akakuta Vitu vidogo vidogo Kwenye Karatasi ya Nailon akasema inasadikiwa ni Madawa ya Kulevya ila itajulikana Mbele.
Wakili wa Serikali: Zilikuwa ngapi Shahidi: 58