Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Unatafakari Nini sasa na hizi kesi za mbege?
Au labda Kuna kesi gani wapinzani waliwahi kufungwa na hukumu zao zikasimama? Namaanisha baada ya rufaa Ni hukumu gani ilithibitishwa kuwa Ni ya haki, nitajie moja tu mkuu.
yaani ninachoka tu hapa .... wauza vilabu vya mbege ndiyo wanaohusika kutoa ushahidi wa kesi ya ugaidi ... Osama RIP na Dr. AL zhakawi na mullah Omar wanawaona ... watu wa ugaidi walipelekwa Kwenye mafunzo ya kuendesha ndege nyinyi mnawapeleka kwenye vilabu vya mbege
 
Maelezo ya shahidi kwenye statement na mahakamani anavyoelezea anajipinga mwenyewe

Mahakamani anasema alikuta kete 25 wakati kwenye statement kasema kete 21
 
Ujinga mtupu! Yaani Askari from nowhere ataje namba za silaha?
Wakili wa Serikali: Halafu

Shahidi: akatuonyesha namba

Wakili wa Serikali: Zilikuwa ni namba gani.?

Shahidi: A5340

Wakili wa Serikali: Zilikuwa kwenye nini

Shahidi: Kwenye Bastola
Huyu nae poyoyo! Na huyu shahidi yaani RAIA wa kawaida akazikariri faster hadi Leo?
 
Shahidi: Akaendelea na Upekuzi, alipofika Upande wa Kulia akakuta Vitu vidogo vidogo Kwenye Karatasi ya Nailon akasema inasadikiwa ni Madawa ya Kulevya ila itajulikana Mbele.

Wakili wa Serikali: Zilikuwa ngapi Shahidi: 58
Yaani navuta picha eneo la kamatakamata huyu Kingai kahesabu na kete na kampa idadi Shahidi! Nyoko kweli. Ushahidi wa kipuuzi namna hii ni kuporezeana muda
 
Back
Top Bottom