Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Kulikuwa na ulazima gani wa kujipa credit kwenye kuandika ule mtiririko, mngekaa kimya tu bila kujitangaza wasingejua nani anaandika.
Uhuru wa mihimili ya dola. Kinachoendelea ndani ya mahakama ni jukumu la mahakama (kusema kiwe hivi au vile) kama vile kinachoendelea ndani ya bunge (ni jukumu la bunge kusema kiwe hivi au vile) na serikalini (kwenye idara na wizara) ni jukumu la serikali (kusema kiwe hivi au vile). Inapotokea kuna border-crossing, wadau wa mhimili husika wana'raise their voices'.
 
Wawe na subra

Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

Acha kujivika ngozi ya kondoo wewe chui!

Kuna haja gani ya kutumia neno la MUNGU ukijuwa fika upo upande wa dhulma?

Wewe na mwenzio Yehodaya mkiachana na uchumia tumbo ni wanawake mnaooneka mpo fresh tu upstair lakini njaa zinawatia aibu!
 
Mwenye kiburi katangulia....

Yupi huyo?? Maana waliotangulia ni wengi mwaka huu.

Rest well Maalim Seif, Balozi Kijazi, JPM, Chale Mbowe, Johara Mtei..... na wengine wengi kwenye ukoo wako unaofikiri walikua na kiburi
 
Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.

Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
 
Na upo hapa huku ukipata updates ya kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, na wakati huo huo unaandika hayo ya kuonyesha kufurahia wanaokupa update KUZILIWA kuingia mahakamani..!!! Aisee...!!!
Nani kakwambia hayo unayosema ,mm sio kiazi mbatata kama wewe

USSR
 
Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.

Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Kutoa taarifa ya kinachoendelea si kuingilia uhuru wa mahakama... Mnatumia vibaya sheria
 
Back
Top Bottom