Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Dadeki watajuta kujifanya wanaharakati wa mahakama

USSR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM INAOGOPA hata Watu kwenda Mahakamani kuna Siku itabomoa jengo la mahakama
JamiiForums-851807913.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nilwaambia ili mtafute alrternative hamkusikia.


 
Huu ujinga wa Kutumia sehem ya maandiko kuhalalisha upumbavu ..ndio Upumbavu wenyewe.


Wao Polisi, wenye ushahidi thabiti kua Mbowe na wenzake ni Magaidi....

Kwann wasiache watanzania waonyeshwe kua Mbowe na wenzake ni magaidi??? Kwa shahidi za mashahidi wanazotoa ???.



Bahati nzuri nyie MaCCM huwa mnaujua ukweli, ila mnajitoaga akili nakubakisha matope vichwani .

Mimi binafsi siujui ukweli lakini naamini ukweli utajulikana tuu. Unapotokwa povu hapa huku Mbowe akiwa bado kashikiliwa hutatui tatizo zaidi unaweza kujitengenezea tatizo binafsi la kupata magonjwa yasiyoambukiza


Tunaambiwa tuwe na subra kwani.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

 
Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.

Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Kenya kesi za namna hii zinarushwa mubashara kwenye vituo vya televisheni, kwahiyo kwa hoja yako vyombo vya habari vinaingilia mahakama sio?

Uzuri tupo mwaka 2021, wasomi kila kona kwahiyo tunajuwa kutambua kweli na uongo, Jaji akileta upuuzi atayakoga
 
sema twitter na instagram wametupiga bao kwenye updates sisi wana jf lialia
 
Dadeki watajuta kujifanya wanaharakati wa mahakama

USSR
Hakuna mwanaharakati wa mahakama ila sheria ndio muhimu kufuatwa. Nikuulize jee kuingia mahakamani nikosa. Policcm wanaposema ni maelekezo kutoka juu maanaa yake nini?

Muwajinga sana hamjitambui na hicho mnachokisimamia kama dola hamkijui ndio maana mnapinga watu wasirushe taarifa kwasababu mnajua mtadhalilika sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom