Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Wacha weeeee
Nonalisema hili kwa uhakika sana. Mashahidi wanatia aibu. Tena ni aibu zaidi kwa mawakili wao maana wao maafisa wa mahakama wenye jukumu la kuwaandaa vyema mashahidi.

Poor preparation prepare poor performance
 
Nchi ya Tanzania mtu kutoa taarifa sahihi kutoka mahakaman anaonekana kama kufanya kosa au kuingilia mahakama kikubwa taarifa iwe sahihi ili watu wajue upi ukweli na uongo, nchi hii ni kama imechelewa sana ndo maana hata vitu vidogo vinafanywa kuwa vikubwa. Hii ni karne ya 21 si sawa na karne ya 16, kupitia hizi kesi na update kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia mahakama zenyewe, idara ya polisi, raia wa kawaida, wanafunzi wa sheria pia zinaleta uelewa kwa jamii juu ya haki zao
 
Kwani hata wangeruhusiwa kuingia mahakamani kuna kitu wangeweza badilisha?

Tusubiri mwisho mwema
Uko sahihi kabisa. Hili jeshi la polisi iko shida. Kama wana ushahidi usio na shaka, hawa watu wakiingia mahakamani watabadili nini?

Hata hivyo wameshaingia. Ni aibu kwa jeshi letu la polisi.
 
Back
Top Bottom