NARUDIA KUKUAMBIA, HATA HAYO MAANDIKO, NINAYAJUA KULIKO HATA UNAVYORUKA RUKA NA VIFUNGU.
NA NIHAYO MAANDIKO AMBAYO NDANI YAKE KUNA " SIFA ZA MKE BORA"... KASOME ..WIMBO ULIO BORA
UJISAIDIE KUJUA NI WAPI UMEPUNGUA.
KUKUAMBIA WEWE HATA BURE SICHUKUI, MAANA YANGU NI KWAMBA MIMI NI SELECTIVE, SIO MWANAUME WA WA MWANAMKE YOYOTE ILIMRADI ANA K.
MIMI NI MWANAUME WA MWANAMKE ,MAKINI, BORA, SMART WA KICHWANI, MWILI, ULIMI, MOYO NA MCHAJI WA MUNGU WA KWELIKWELI.
mimi sio MWANAUME wa mwanamke kama wee ambaye Ulimi wako na Akili yako na Moyo wako vinapishana sanaaaaaaaaaa , mimi sio mwanaume wa mwanamke kama wee ambaye ni wazi unasema kitu ambacho hukimaanishi.
Mimi sio mwanaume wa mwanamke mdhaifu kama wewe.
Mimi sio mwanaume wa mwanamke Mwenye Ukinyonga kama wewe.
Mimi sio mwanaume wa mwanamke KIPOFU KAMA WEWE .
Mimi sio Mwanaume wa mwanamke MBINAFSI ,ATAFUTAYE FAIDA ZAKE MWENYEWE kama wewe.
Mimi sio mwanaume wa Mwanamke MNAFIKI KAMA WEWE.
Mimi sio Mwanaume wa Mwanamke asificha udhaifu wa ujinga wake Mbele ya Hadhira .
MIMI NI MWANAUME WA MWANAMKE AMBAYE, AKIPITA MAHALI WATU WATASEMA " HUYU MWANAMKE ,MUMEWE KAPATA ,AMEKAMILIKA KILA MAHALI".
KWA MUKTADHA HUO NARUDIA KUSEMA...WEWE HATA NIPEWE BUREEEE,SIICHUKUII, YAAAN HATA WANIWEKE MSALABANI, WANIGONGE MISUMALI, NA MISHALE, SICHUKUIIIIII
YAAN HATA NIAMBIWE NIKIKUBALI KUA NAWEEE, SHIDA ZANGU ZINAKOMA, SICHUKUIIIIIIIIII
NDUGU ZANGU WANA JF MNIELEWE HAPA... [emoji117] KWA UANAUME NILIONAO MIMI
Carlos The Jackal SIWEZI KUCHUKUA HATA KWA BURE HUYU
mama D