Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Uuguzi huko wodini huwa unautumikia saa ngapi....ridhika na huo mshahara viti maalum vinahitaji Mapisi makali....
Niko off leo. Mshahara nimeridhika nao na kazi nnazofanya nazipendaa wala sijawahi wazia teuzi.

Au kuna mahali niliwahi sema haunitoshi au nahitaji viti maalum???
 
naona Carlo anakuchemsha, namii nagonga hapo hapo 😀 😀 😀 😀 😀 pole mama D naona Carlo amekuamkia
Kumbe wewe ni yule kichaa aliyekua anakimbia uchi halafu anawaita wanaotaka kumvisha nguo ni vichaa😂😂😂
 
Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.

Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Umenichekesha kweli kweli yaaani kwenye hii kesi mbingu na ardhi zimeikataa serikali hata huko kwenye mitandao na mitaani watu wapo na mboe sijui kwanini serikali haijifanyii tathmini
 
Nchi ya Tanzania mtu kutoa taarifa sahihi kutoka mahakaman anaonekana kama kufanya kosa au kuingilia mahakama kikubwa taarifa iwe sahihi ili watu wajue upi ukweli na uongo, nchi hii ni kama imechelewa sana ndo maana hata vitu vidogo vinafanywa kuwa vikubwa. Hii ni karne ya 21 si sawa na karne ya 16, kupitia hizi kesi na update kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia mahakama zenyewe, idara ya polisi, raia wa kawaida, wanafunzi wa sheria pia zinaleta uelewa kwa jamii juu ya haki zao
Nchi nyingine huwa wanafanya LIVE coverage ya TV...
 
KAMA UNAYE BASI ANA MZIGO MKUBWA SANA NA MLIMA MZITO WA KUUPANDA , NI MWANAUME WAKUONEWA HURUMA .


WANAUME MASHOKA, HATUOI AINA YA WANAWAKE KAMA WEWE .


OMBA MUNGU KWANZA, AKUONDOLESHE KATABIA HAKO KA KIPUUZI, ILI UFAE KUA MKE .



SIJAONA MKE NDANI YAKO. HATA BURE YAAN HATA HAPA DUNIANI. NIBAKI MIMI NAWEWE.

HATA BUREE, HATA BUREEEEEEEE SICHUKUI.
Well said Mkuu tumsamehe umri umeenda huyo humu anapunguza SITIRESI...
 
Tupate wadhamini

kwa hisani ya nyama choma na mo energy

E_irPw6WQAAQPeH
 
BAHATI NZURI HUWA NINA MANENO YANAYOGUSA MOYO , MOJA KWA MOJA.

NAJUA NACHOKISEMA KINAKUINGIA MOYONI, KINAKUVUNJA VUNJA, KINAKUCHOMAA KWA KWELI INACHOMA.


KAMA UNAWATOTO WADOGO, NI MARA MIA WAJE WACHEZE NA MTOTO WANGU WA MIAKA TATU AWAFUNDISHE JINSI WANAVYOPASWA KUA WAUME.


SINA SHAKA NA NINAUHAKIKA, KAMA UNAWALEA WANAO KWA UPUMBAVU NINAOUONA HAPA, ( HAPA NISISEME TU ).



HUKUJIANDAA KUA MWANAMKE MTU MZIMA WAKATI WA USCHANA WAKO.. NADALA YAKE UMEONGEZEKA UMRI TU ..LKN AKILI NA MOYO VIMEJAAA UJINGA UJINGA .


MWANAMKE KUA MNAFIKI YAAN MPAKA MWANAMKE UNAKUA MNAFIKI MAANA YAKE , HUFAI HATA KUITWA MWANAMKE.

KWA SABABU MWANAMKE, HUONGOZWA NA HAIBA YA KUHESHIMIWA MACHONI MWA WATU.


UNAKUA MNAFIKI MPAKA UNAVUKA KIPIMO ???


MWANAUME WAKO. NI MWANAUME AMBAYE HAKUA NA CHAGUO. YAAN WALE WANAUME HOEHOE , AMBAO WALIPOTEZA NAFASI YAO YAKUCHAGUA MWANAMKE, WANGALI BADO WAKO TUMBONI KWA MAMA ZAO.


SASA AKAKUBEBA ILI MRADI TU ,ATAFANYAJE SASA, HAWEZ KUA NA MWANAMKE ANAYEMTAKA .



YAAN KIJANA KAMA MIMI NINAYEJIKUBALI, JIAMIN, KILA CHANGU NAKIONA BORA , NADHIFU WA AKILI MWONEKANO, MAISHA , NAYESALI ,

[emoji117]NITAANZAJE MIMI KUPIGA HATUA KUMSOGELEA MWANAMKE AINA YAKO AMBAYE NI MWANAMKE SABABU TU UNA UKE???


HOW ??? UWIIII KHAAAAAAAA HIVI SINITAKUA NMEIDHARAU THAMANI YANGU.
Mpe mpe huyo anatafuta viti maalum umri upo LYAMBA ...teh teh
 
UNGEKUA MWANAUME USINGETOA MANENO ULIYOANDIKA HAPO MAANA KUJIDHARAULISHA
HIVI UNAIJUA NAFASI YA MWANAUME KIIMANI, KIUUMBAJI NA KIJAMII?

NIKUAMBIE TUU.... MWANAUME MWENYE UANAUME WAKE ANA UWEZO WA KUWA MUME SAHIHI PASI SHAKA NA BILA HOFU KWA MWANAMKE ANAYEMPENDA NA MKE AKAWA MKE MAKINI

ILA WEWE UNAYEMUOGOPA MWANAMKE TENA USIYEMJUA NI WAZI UMEKOSA UKAMILIFU WA UANAUME, HUTOSHI KWENYE VIATU VYA KUWA MUME WEWE. NA KAMA NI MUME BASI KAMA HUPATI SHIDA SASA, UTAPATA SHIDA SANA KUSIMAMA KAMA MWANAUME MWENYE NAFASI YAKE

YAANI MWANAUME UNAOGOPA HATA KUWA MWANAUME NDIO NINI SASA HUMO NDOANI😂😂😂

POLE LAKINI INAWEZA KUWA HATA SI KUPENDA KWAKO
Dakika za mwisho unaokota mchoma mkaa kuwa mume hahaha....usimpelekeshe Chalii wa watu teh teh
 
Kuna mtego ambao bado hawajaelewana. Unawaza kudai kwamba walikula hivyo vitu. Je wakati wakiagiza nyama choma, ndizi na Mo Energy walipewa risiti? Na hizo pesa zilifanyiwa retirement kama utaratibu wa malipo ya pesa za umma unavyohitaji? Mwisho wa siku kukosekana kwa vidhibiti (risiti na fomu za retirement) kutaleta shida kwa upande wa mashuhuda walioshuhudia kama mahabusu walikula ama hawajala wakati wakisafirishwa.
 
NARUDIA KUKUAMBIA, HATA HAYO MAANDIKO, NINAYAJUA KULIKO HATA UNAVYORUKA RUKA NA VIFUNGU.


NA NIHAYO MAANDIKO AMBAYO NDANI YAKE KUNA " SIFA ZA MKE BORA"... KASOME ..WIMBO ULIO BORA

UJISAIDIE KUJUA NI WAPI UMEPUNGUA.


KUKUAMBIA WEWE HATA BURE SICHUKUI, MAANA YANGU NI KWAMBA MIMI NI SELECTIVE, SIO MWANAUME WA WA MWANAMKE YOYOTE ILIMRADI ANA K.

MIMI NI MWANAUME WA MWANAMKE ,MAKINI, BORA, SMART WA KICHWANI, MWILI, ULIMI, MOYO NA MCHAJI WA MUNGU WA KWELIKWELI.


mimi sio MWANAUME wa mwanamke kama wee ambaye Ulimi wako na Akili yako na Moyo wako vinapishana sanaaaaaaaaaa , mimi sio mwanaume wa mwanamke kama wee ambaye ni wazi unasema kitu ambacho hukimaanishi.

Mimi sio mwanaume wa mwanamke mdhaifu kama wewe.

Mimi sio mwanaume wa mwanamke Mwenye Ukinyonga kama wewe.


Mimi sio mwanaume wa mwanamke KIPOFU KAMA WEWE .

Mimi sio Mwanaume wa mwanamke MBINAFSI ,ATAFUTAYE FAIDA ZAKE MWENYEWE kama wewe.


Mimi sio mwanaume wa Mwanamke MNAFIKI KAMA WEWE.

Mimi sio Mwanaume wa Mwanamke asificha udhaifu wa ujinga wake Mbele ya Hadhira .


MIMI NI MWANAUME WA MWANAMKE AMBAYE, AKIPITA MAHALI WATU WATASEMA " HUYU MWANAMKE ,MUMEWE KAPATA ,AMEKAMILIKA KILA MAHALI".



KWA MUKTADHA HUO NARUDIA KUSEMA...WEWE HATA NIPEWE BUREEEE,SIICHUKUII, YAAAN HATA WANIWEKE MSALABANI, WANIGONGE MISUMALI, NA MISHALE, SICHUKUIIIIII

YAAN HATA NIAMBIWE NIKIKUBALI KUA NAWEEE, SHIDA ZANGU ZINAKOMA, SICHUKUIIIIIIIIII



NDUGU ZANGU WANA JF MNIELEWE HAPA... [emoji117] KWA UANAUME NILIONAO MIMI Carlos The Jackal SIWEZI KUCHUKUA HATA KWA BURE HUYU mama D
Mkuu punguza uzito wa MAKOMBORA huyo umri umeenda
 
Nawasalimu nyote,

Jukwaa hili kwetu ndilo tegemeo letu kuu la kupashana habari, fanyeni hima mtupatie update kadri iwezekanavyo, ingawa kutakuwa na changamoto kubwa ya ninyi kupata ruhusa hiyo. ALUTA CONTINUA.
Kesi halali huwa hazina vikwazo shida ni hizi kesi za safari hii hutoboi!
 
SHIDA NI KUWA MNASHANGILIA KESI BADALA YA KUSUBIRI EITHER KUSHANGILIA AU KULIA WAKATI WA HUKUMU MNAONA KESI NI NYEPESI LAKINI MWISHO MTAKUJA KULIA KILIO CHA MBWA MWIZI
Kwa kweli hivyo ndivyo ulivyo wewe.
TAFADHAJI rejea michango yako humu, ambayo mingi ilijaa MPAKA lugha zinazotia kichefuchefu hata kwa shetani.
Hata hivyo huo unabaki kuwa ni uhuru wako ingawaje BADO itakuwa ni busara kwako, kama ungejitahidi kuwa na akiba ya MANENO.
 
Back
Top Bottom