Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Ninyi wana CHADEMA mnapenda sana kwenda Mahakamani any time Gaidi Mwenyekigoda akiwa na kesi huko, kwa nini, hamna shughuli nyingine za kufanya? Acheni Mahakama ifanye kazi yake bila mashinikizo au mnalipwa kwenda Mahakamani kufanya fujo? Nina hakika kabisa mkipata matatizo yoyote ya jinai, siyo Koroboi wala Tobo atakaye kuja kuwatetea! Kaeni mkijua hilo ndugu zangu.
Huko uliko kunakutosha kutuliza tako.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi wana CHADEMA mnapenda sana kwenda Mahakamani any time Gaidi Mwenyekigoda akiwa na kesi huko, kwa nini, hamna shughuli nyingine za kufanya? Acheni Mahakama ifanye kazi yake bila mashinikizo au mnalipwa kwenda Mahakamani kufanya fujo? Nina hakika kabisa mkipata matatizo yoyote ya jinai, siyo Koroboi wala Tobo atakaye kuja kuwatetea! Kaeni mkijua hilo ndugu zangu.
Chief katika ubora wako..
 
Yaani aibu naona Mimi,yaani kama Polisi wa Cheo cha Inspector tena msomi wa chuo kikuu hajui mambo madogo kama hayo tena ya utaratibu wa kazi wa kila siku sasa itakuwaje kwa wale wa chini yake wa la Saba na form failure?
Achia mbali kutoa ushahidi, yaani ni aibu hata kuwa ameajiriwa na jeshi la polisi...
 
maswali mengine huwaga ya kupoteza muda tu wakitoka hapo wanaenda nyumbani mbowe anaendelea kwenda kunyea kwenye debe mawakili wa utetezi hamna huruma hata kidogo

Mkuu wewe ni mwanadamu tu huna mamlaka na pumzi yako jitahidi sana kutokufurahia mateso ya mwanadamu mwingine.
 
Mwanamke kama wewe , unayejua kitu na bado unajiondoa ufaham na kujifanya hujui.

HATA KAMA NI SIASA, ILA UKWELI NI HUFAI HATA KUA MKE WAMTU.

Kuna mambo mengi sana Ndoani kwako. Utayazusha na kuyashupalia shingo., wee ni mfitini .
Bora umemwambia ukweli aisee mama D Ni mnafiki Sana hafai kuwa mke ht kidogo ...halafu anajifanya kuhubiri neno nyie ndio wapakwa mafuta wa motoni
 
NIMESEMA SISOMIII🤣

E_t4qvjWYAQxp9b.jpg
 
Oyaaa, tuendelee kupeana Updates za kinachoendelea , sauti mzipaze.

Kama aliyeondoka...alitaman awe malaika ili mitandao jamii izimwe.

Basi tambueni mitandao jamii inanguvu.

Wapuuzeni wote wanaojaribu kuwatoa kwa reli...hasa hawa vijana uchwara wa CCM.
 
Back
Top Bottom