Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yeye ni gazetted officer au sio...mbona simuelewi
 
Kuna mtego ambao bado hawajaelewana. Unawaza kudai kwamba walikula hivyo vitu. Je wakati wakiagiza nyama choma, ndizi na Mo Energy walipewa risiti? Na hizo pesa zilifanyiwa retirement kama utaratibu wa malipo ya pesa za umma unavyohitaji? Mwisho wa siku kukosekana kwa vidhibiti (risiti na fomu za retirement) kutaleta shida kwa upande wa mashuhuda walioshuhudia kama mahabusu walikula ama hawajala wakati wakisafirishwa.
na yawezekana Kingai akafunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya fweza za serikali
 
Hivi navyo ni vituko tupu hivi huyu shahidi yani kila kitu hafahamu mbona ni mbumbu sana aiseee.... Hivi jamhuri kwanini hawa waandai mashahidi wao? hii ni aibu sana aiseee yani kila swali sifahamu, sifahamu, sifahaamu ......
 
Halafu huyo ni Afisa Msomi wa Polisi tena Inspector asiejua ABC za majukumu yake afanyayo kila siku
 
Shahidi: SI SO MI Mheshimiwa JAJI
ha ha ha ha, Shahidi kashagoma !!!

SISOMI...

2935469_E_t4qvjWYAQxp9b.jpg
 
Back
Top Bottom