Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kutukashifia jani takatifubangi
Kuna swali hapo kapigwa ambalo ndiyo "killer punch"... halafu kasema/kajibu "Hapana"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na muhimu zaidi ionekane ikitendekaHaki itendeke kwa hii kesi
Kingereza kitupu mzee mwenzangu
sasa kwa sisi tulioishia form four " B : tukaenda Sisipii ni balaaa tupuIko kwa lugha ya malkia
![]()
Hivi wale waliokuwa wanamkosa Hamza ni polisi wa Nazareti au Galilaya!!??THAT IS !!!.
UNAMCHA MUNGU ALAFU UBONGO ULIMI, MOYO WAKO VYOTE UMEVIPA UPOFU WAKUTOKUJUA HII NI SAHIHI HIYO SIO SAHIHI.
MWANAMKE UNAKUA NA KIWANGO CHA UNAFIKI MPAKA UMEPITILIZA ,ALAFU TENA MACHON MWA MAELFU YA WATU ..
MWANAMKE UNAKOSWA AIBU. YA KUTOKUA MNAFIKI NAKUSEMA VITU USOBIMAANISHA.
WEWEE !!!!.
MWANAMKE KIASILI NI MWENYE HURUMA, HURUMA INAYOMKUMBUSHA ILE SIKU ALIPOKUA CHUMBA CHA KUJIFUNGUA.
KUA MWANACCM KUSIWAFANYE MPOTEZE UTU NA UBINADAMU.
NIYALE YALE, TUNDU LISSU AKAPIGWA RISASI , ANGEULIWA??? WATU HAWAKUWAZA ANAWATOTO, ANATEGEMEWA.
ALAFU MTU MMOJA AKASEMA ' ASKARI WETU HUWA HAKOSEI SHABAA"
WEWEEEEE .
Kesi inaendelea saa ngapi?
Tupieni mahojiano please [emoji1545]Afadhali Shahidi wa 2 amemaliza kutoa ushahidi, alikuwa anatia aibu.
Ngoja tuone ushahidi wa huyu Shahidi wa 3
Hapa tumepanikiWawe na subra
Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."
Mhubiri 7: 8 - 9
Ushahidi wa kufundishwa ndio matokeo yake hayaHivi navyo ni vituko tupu hivi huyu shahidi yani kila kitu hafahamu mbona ni mbumbu sana aiseee.... Hivi jamhuri kwanini hawa waandai mashahidi wao? hii ni aibu sana aiseee yani kila swali sifahamu, sifahamu, sifahaamu ......
Mavunjifu ya sheria haya ,halijavaa hata helimenthata akiulizwa maana ya hako kafimbo alikobeba kana maana gani hajui.
hahahahahahahahahahaha
Hizi Platform zinatusaidia kuzinduka, maana hapo zamani tulikua tumelala doloooo, jaji kama anajua anachokifanya sio kupindisha haki ni kunyosha sasa awe na hofu ya nini koloIla kiukweli hii mitandao ya kijamii husasani tweeter jf, na clubhouse wanaingilia sana uhuru wa mahakama.
Kila baada ya kesi kunakuwa na uchambuzi kwenye hii mitandao. Naona kabisa jaji akipata tabu kuamua hii kesi. Maana % kubwa ya watu wapo na mbowe na wenzake. Serekali hii kesi itashindwa vibaya sana.
Tunasubiri update ya kinachoendelea huko mahakamani.
Oyaaa, tuendelee kupeana Updates za kinachoendelea , sauti mzipaze.
Kama aliyeondoka...alitaman awe malaika ili mitandao jamii izimwe.
Basi tambueni mitandao jamii inanguvu.
Wapuuzeni wote wanaojaribu kuwatoa kwa reli...hasa hawa vijana uchwara wa CCM.