Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Ndio maana wanalilia kupewa aitime na media

USSR
 
Hata Kama ni wewe utawakumbuka mahabusu wote waliingia na kutoka saa ngapi kila siku ,ni upuuzi Sana umuulize mwalimu eti mwanafunzi wako flan aliondoka saa ngapi siku flani ilikuwa saa moja na dakika ngapi upuuzi mtupu

USSR
We nae kwani huyo shahidi sialijua kwamba anaenda kuwa shahidi na lazima aulizwe maswali
 
Nilichojifunza so far wapolice wengi wanafanya kazi kwa mazoea, hata hiyo PGO ambayo ndiyo kama litugia yao ya kila siku hawaielewi kwa zaidi ya 70%. kwa sasa naona mashahidi waliobaki watakesha wakikaririshwa vifungu.
 
Kibatala: iambie Mahakama kama ulitoa angalizo la kiulinzi kwa watuhumiwa hawa wawili
Shahidi: Niulize tena vizuri sijaelewa...
Kibatala: Leo umezungumzia lolote kuhusu Watuhumiwa watolewe kituoni wapelekwe eneo lingine?
Shahidi: Hapana hakuna sehemu niliyo zungumza..


huyu shaidi fix sana si alisema washitakiwa walitokewa mahabusu kwenda kwenye uplelelezi na hajui walirudi saa ngapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…