Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wanalilia kupewa aitime na mediaHata Mheshimiwa Jaji kesha ng'amua janja ya hawa Mawakili wa upande Gaidi Mwenyekigoda, ni kutaka kupoteza muda na kupata "huruma" au sympathy kutoka kwa wana CHADEMA kwa kuuliza vijiswali vya uongo uongo na upotoshaji kwa mashahidi wa Serikali as a way of justifying their payments. Waache hizo, wafanye kazi zao kiweledi ili "mbivu na mbichi" zijulikane!
Mungu wa ugaidi huyoKutakatisha pesa nayo kesi? Hata ingekuwa kumtoa roho shetani bado mbowe atapiganiwa na Mungu na atatoka.
We nae kwani huyo shahidi sialijua kwamba anaenda kuwa shahidi na lazima aulizwe maswaliHata Kama ni wewe utawakumbuka mahabusu wote waliingia na kutoka saa ngapi kila siku ,ni upuuzi Sana umuulize mwalimu eti mwanafunzi wako flan aliondoka saa ngapi siku flani ilikuwa saa moja na dakika ngapi upuuzi mtupu
USSR
Elimu yako ni drs la pili Tulia.sasa hayo ni maswali gani wakili amemaliza kuuliza? kama hawana cha kuuliza si waseme tu hukumu itoke wanahangaika nini na huyo gaidi
mnamtesa bure gaidi wenu bora mubadirishe mawakili hao wanapoteza muda tu maana wanajuwa hawana cha kumtetea mboweElimu yako ni drs la pili Tulia.
Hata akiwa Mungu wa mafisadi.Mungu wa ugaidi huyo
USSR
Ila mwamba kazeeka ghafla.Mwamba wa kaskazini