Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Hata Mheshimiwa Jaji kesha ng'amua janja ya hawa Mawakili wa upande Gaidi Mwenyekigoda, ni kutaka kupoteza muda na kupata "huruma" au sympathy kutoka kwa wana CHADEMA kwa kuuliza vijiswali vya uongo uongo na upotoshaji kwa mashahidi wa Serikali as a way of justifying their payments. Waache hizo, wafanye kazi zao kiweledi ili "mbivu na mbichi" zijulikane!
Ndio maana wanalilia kupewa aitime na media

USSR
 
Hata Kama ni wewe utawakumbuka mahabusu wote waliingia na kutoka saa ngapi kila siku ,ni upuuzi Sana umuulize mwalimu eti mwanafunzi wako flan aliondoka saa ngapi siku flani ilikuwa saa moja na dakika ngapi upuuzi mtupu

USSR
We nae kwani huyo shahidi sialijua kwamba anaenda kuwa shahidi na lazima aulizwe maswali
 
Nilichojifunza so far wapolice wengi wanafanya kazi kwa mazoea, hata hiyo PGO ambayo ndiyo kama litugia yao ya kila siku hawaielewi kwa zaidi ya 70%. kwa sasa naona mashahidi waliobaki watakesha wakikaririshwa vifungu.
 
IMG-20210920-WA0251.jpg
 
Kibatala: iambie Mahakama kama ulitoa angalizo la kiulinzi kwa watuhumiwa hawa wawili
Shahidi: Niulize tena vizuri sijaelewa...
Kibatala: Leo umezungumzia lolote kuhusu Watuhumiwa watolewe kituoni wapelekwe eneo lingine?
Shahidi: Hapana hakuna sehemu niliyo zungumza..


huyu shaidi fix sana si alisema washitakiwa walitokewa mahabusu kwenda kwenye uplelelezi na hajui walirudi saa ngapi...
 
Back
Top Bottom