Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Tatizo la hawa mashaidi wanatreniwa wakihisi maswali aliyoulizwa mahita ndo ataulizwa kingai mwisho wa siku kila swali wakiulizwa wanaishia sifahamu.
 
Huu ulikuwa ni mchongo wa Sabaya na genge lake la mwendazake kabla hajamfika yaliyomfika, Lema na Lissu wangekuwepo ugaidi huu wa kuchongwa ungewahusu.
 
Mbona kesi yenyewe nyepesi!

Watu kuachiwa mapema
Or
Watu kufungwa mapema

Deductive and Inductive Reasoning
 
Kibatala: muda wa kwanza ni saa7 usiku, wa pili ni saa12asubuhi na shifti ya tatu ni saa 10 jioni, je muda wako uliosema kwamba uliingia shift saa 12 asubuhi umetajwa?
Shahidi: haujatajwa
Jaji: kibatala ushamchanganya muache apumzike kidogo
Jaji: shahidi kunywa maji
Shahidi: ninayo
Hahahaha hawa wamezoea kubambikia watu bangi dawa ni kuwatafutia mawakili tu pambaf
 
Kila akianza kuuliza maswali Kibatala unaona kabisa shahidi anatamani kwenda haja ndogo!
Kiba-tala ndio huyu anayeuliza "umewakamata wakila wakiwa wamekaa au turn anatembea"maswali ya kijinga sana

USSR
 
Watoto wa magaidi kutukana ndio style zenu

USSR
 
Counter attacks ,naona maswali ya kitoto Sana eti supu ilikuwa ya mbuzi au kuku ,ruzuku zenu zinaliwa sana

USSR
 
Ataachaje kuzeeka na damu za watu zinamlilia

USSR
Aliyejifanya mungu mtu tayari kashaliwa ni wadudu.

Kila kitu mkitukuza na kumramba miguu na kumuekea Kila aina ya ulinzi ili asifikwe jee hamkufanikiwa kuwatumia hawo walinzi ili asife?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kawaulize hawo waliombakia kesi PGO maana yake nini.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kesi gani kibatara aliwahi kushinda

USSR
Unajitoa fahamu wewe yaani na ukubwa wote huo hauzijui kesi alizoshinda Wakili Msomi?
Itoshe tu kusema hakuna kesi iliyowahi mshinda huyu nguli labda Kama ulikua humjui maana inaonekana umeishi Sana Kolomije mambo ya huku mjini hata huyajui!
Pole Sana USSR
 
Mkuu unaamini kwamba kweli kuna mtu anaenda kufungwa??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mashahidi wenyewe ndio wale wa sijui, nimesahau, n.k?
yaani unampa title ya 'Mkuu' huyo MATAGA?

Huyo hata akili za kuvukia Barabara Hana,
Walishazitoa na zimefungiwa kwenye Cold room pale Lumumba ndio maana unaona wamekua Kama misukule hata hafikirii mambo madogo Kama hayo

Yanashangilia hata upumbavu tu!
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…