Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Huyo Mataga alifikwa na msiba hebu tunaomba utaje hata herufi ya mwanzo tu tumjue tutaunganisha dot Mkuu!Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.
Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risas
Tulieni Wajinga nyinyi,na kesi za kutunga.Kumbe mallya hakuna mtu ni tutusa tu maswali anarudia yaleyale so tunamawakili wa hovyo sana
USSR
hao mawakili wanakula pesa ya bure hakuna kitu kichwani maboga matupu wanapoteza muda wa mahakama tu
Sasa Kama Mzee mwenyewe ndiyo alijenga kwenye hifadhi ya barabara,hapo Mwendazake analaumiwaje!? Tii Sheria bila shuruti popote pale ulipo hata Kama Mamlaka hazikuoni!!Wafuasi wa mwendazake wengi no vihiyo huwa hawana reasoning yeyote
Kuna mzee mmoja alikuwa kafa kaoza kwa mwendazake nilimwambia huyo huyo jamaa yako sio kabisa achana nae
Unajua nini!?
Mzee alikuja bomolewa nyumba pale kimara akaambulia madirisha tu ya chuma Hana hamu na mwenda zake Hadi leo[emoji1]
Kwa hiyo na ww upo gerezani, hongera kwa magereza kukuruhusu uchati jf kwa simuHoja za sisizo na mashiko za mawakili wa PGO wa Chadema tunazipotezea. Tutamsubiri Mbowe gereza la ISANGA, Dodoma kesi ikiisha.
Acha tuwajue vizuriKesi ya kipuuzi sana hii,kila siku inaahirishwa
Una tatizo wewe kufikiri uSikiliza ndugu ,unatafuta laana katika Maisha Kwa sababu ya umaskini wako.
Huku ni liko tuna MTU Mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa Risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa ya isiyopona Mungu hakuacha tu Hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana Kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .
akilinene nakukumbusha Kama nilivyomwambia ndugu yako zandrano kuwa usijaribu sana kumuombea ndugu yako mabaya Kwa sababu ya njaa,Usijaribu kuomba kifo Kwa ndugu yako Kwasababu ya 7000/-.
USSR Magufuri alitamani sana LISSU afe lakini akafa yeye kwanza.
Leo hii mnatamani MBOWE afungwe bila hatia yoyote,Lakini mwaka huu Kabla haujaisha,Mungu mwenye kuhukumu ya kweli at waonesha Na kuwafundisha.
Huyu mwenzenu mpaka PolePole alikuwa anamkubali Leo hii anateseka
Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye apendaye kulaani na kutamka laana kwa wengine na asitamke mibaraka , basi laana hiyo humpata yeye.Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.
Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa(CA OF LIVER) isiyopona Mungu hakuacha tu hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .
akilinene nakukumbusha Kama nilivyomwambia ndugu yako zandrano kuwa usijaribu sana kumuombea ndugu yako mabaya Kwa sababu ya njaa,Usijaribu kuomba kifo Kwa ndugu yako Kwasababu ya 7000/-.
USSR Magufuri alitamani sana LISSU afe lakini akafa yeye kwanza.
Leo hii mnatamani MBOWE afungwe bila hatia yoyote,Lakini mwaka huu Kabla haujaisha,Mungu mwenye kuhukumu ya kweli at waonesha Na kuwafundisha.
Huyu mwenzenu mpaka PolePole alikuwa anamkubali Leo hii anateseka
Duniani kote hakuna gaidi anayependwa. Gaidi anakatisha maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Juzi umeona gaidi Hamza alivyokatisha ghafla maisha ya askari wetu. Leo unataka tumchekee gaidi!!Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.
Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa(CA OF LIVER) isiyopona Mungu hakuacha tu hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .
akilinene nakukumbusha Kama nilivyomwambia ndugu yako zandrano kuwa usijaribu sana kumuombea ndugu yako mabaya Kwa sababu ya njaa,Usijaribu kuomba kifo Kwa ndugu yako Kwasababu ya 7000/-.
USSR Magufuri alitamani sana LISSU afe lakini akafa yeye kwanza.
Leo hii mnatamani MBOWE afungwe bila hatia yoyote,Lakini mwaka huu Kabla haujaisha,Mungu mwenye kuhukumu ya kweli at waonesha Na kuwafundisha.
Huyu mwenzenu mpaka PolePole alikuwa anamkubali Leo hii anateseka
Hapa jaji alinifurahisha [emoji13]
Kumbe ni mkristo kabisa,na huenda unaenda kanisani kabisa Lakini Kwa sababu ya umaskini uanamua kumwacha YESU wa kweli moyoni Na kubaki mdomoni.Acha kutafuta Laana usilitaje bure Jina la Mungu wako.Una tatizo wewe ku
Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye
Kubaki kataa kifo cha Magufuli kilikuwa cha kiroho!Kushangilia kilikuwa na connections na kiroho.Binafsi sijawahi Kushangilia kifo chake.Lakini kumwaga damu za watu wasio Na hatia ilikuwa hatari zaidi Kwenye ulimwengu wa kidogo.Una tatizo wewe kufikiri u
Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye apendaye kulaani na kutamka laana kwa wengine na asitamke mibaraka , basi laana hiyo humpata yeye.
Kwa vyovyote wewe ni mgonjwa wa akili!Dadeki watajuta kujifanya wanaharakati wa mahakama
USSR
hiyo imoji ni moyo au matako..tuanzie kwanza hapo... π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anatumia [emoji527] kufikiri
Najua ila sio kwa ugaidiGood for you sir!Lakini Mungu ni wetu sote lolote la weza kutokea kwako Kabla ya MBOWE kufungwa.Kama huamini kaulize Chato.
Ufukara wangu hauwezi kumfanya gaidi mbowe asifungwehalafu ndio wewe utatoka kwenye lindi la ufukara na kuombaomba ulilomo???
Kazi ni kupima ukilaza wa polosi au kushinda kesiWatu wengi hawajui kazi ya wakili. Wanadhani mahakamani ni kufika na kupiga porojo. Ona sasa bila maswali hayo tungejuaje kuwa polisi wetu ni zero. Hakuna wanayoyajua.
We subiri siku Sir_ro akipandishwa kizimbani. Watatamani wazime mtandao, lakini tayari tumesha andaa VPN
Mpigie sele 0715 132277 0787132277 anazo taarifa zote
Sele na kibwana wametoa Siri zote njama zoteUfukara wangu hauwezi kumfanya gaidi mbowe asifungwe
USSR
Hoja za sisizo na mashiko za mawakili wa PGO wa Chadema tunazipotezea. Tutamsubiri Mbowe gereza la ISANGA, Dodoma kesi ikiisha.
Naona umekosa hoja umebaki na ushabiki na hisia zako binafsi. Mimi ni zaidi ya hapo. Hivyo nafunga rasmi suala lako.Kubaki kataa kifo cha Magufuli kilikuwa cha kiroho!Kushangilia kilikuwa na connections na kiroho.Binafsi sijawahi Kushangilia kifo chake.Lakini kumwaga damu za watu wasio Na hatia ilikuwa hatari zaidi Kwenye ulimwengu wa kidogo...