Serikali inajua Ukweli inaosmamia halafu wakati huohuo Inaogopa wananchi wenyenchi wasijue ukweli huo? Kwa hyo Serikali inaamua kufungulia kesi feki Raia wasio na hatia? Kwanini iwe dhambi wananchi kuingia kwa mahakama zao kujua na kujifunza juu ya madhara ya kutenda jinai ? Kwanini jamani?