Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
- Thread starter
- #441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahita alimchukua kwa ajili ya upelelezi kazi ya shahidi ni kulinda mahabusu kituoni nkMallya: mpelelezi Kama Mahita masuala ya mahabusu Central ni Kazi yake? siku ya tarehe 08.8.2020 ulikuwa wajibu wa Mahita
Shahidi: Ulikuwa ni wajibu wangu mimi
Mallya: Mheshimiwa Jaji hi hayo tu..
Point, kwa nini Mahita aliwachukua wakati siku hiyo yeye haikuwa wajibu wake.
Hapo hakuna tatizo kwa sababu maelezo yake shahidi yapo yanayoonyesha muda na saa aliyotoka na kuludiKiwhelo: Mtuhumiwa namba tatu, alipochukuliwa na afande Jumanne alirudishwa saaa ngapi?
Shahidi: Sikumbuki
Tatizo tayari..
Tulia mnyolewekibatala ana maswali ya kijinga sana yakupoteza muda tu yaani shule haijamsaidia kituhapo anahangaika tu
Wewe jamaa kumbe hukufa September 11?wamuachie mbowe