Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Mallya: mpelelezi Kama Mahita masuala ya mahabusu Central ni Kazi yake? siku ya tarehe 08.8.2020 ulikuwa wajibu wa Mahita
Shahidi: Ulikuwa ni wajibu wangu mimi
Mallya: Mheshimiwa Jaji hi hayo tu..

Point, kwa nini Mahita aliwachukua wakati siku hiyo yeye haikuwa wajibu wake.
Mahita alimchukua kwa ajili ya upelelezi kazi ya shahidi ni kulinda mahabusu kituoni nk
 
Kiwhelo: Mtuhumiwa namba tatu, alipochukuliwa na afande Jumanne alirudishwa saaa ngapi?
Shahidi: Sikumbuki


Tatizo tayari..
Hapo hakuna tatizo kwa sababu maelezo yake shahidi yapo yanayoonyesha muda na saa aliyotoka na kuludi
 
Shukrani za dhati sana ndugu kwa kutuupdate kwa muda wote huu maana siyo kazi ndogo hasa kwa watu wavivu kama mimi
 
Back
Top Bottom