Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Wote: Ng'wadila?Ilikuwa lazma gwajima wampe maana alivyoihakaza serikali ya makonda hadi aibu so ili kuficha makucha yake lazma wampe naye ulaji wale pamoja asiongee ongee, finally watakuwa pamoja na makonda ktk baraza la mawaziri lijalo.
Makonda akiwa mbunge wakuteulia atakuwa wazir wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Gwajima atakuwa waziri wa mambo ya ndani
KapataJamani,Kunambi vipi kapata ama ?
Wananchi hilo hatuelewi. Ndo maana tutachagua Gwajima.Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi, sasa kama anawasemea na serikali haisikii yeye angefanyaje?
Acha hizo, huitakii mema CCM2010 ilikuwa tofauti. Any way muda utasema
Mwambe zipo mbili, ni ipi un shaka nayo?.Khaaaaaa mwambeeeeeee???? Aloo jiwe hapa kafeli
Support, Halima hana lake tenaWananchi hilo hatuelewi. Ndo maana tutachagua Gwajima.
Bashi boy chalinaskia msanii mwana fa kaula, bashite vp????
Mbona umekurupuka sana hebu fafanua vizur,kwan unakimbizwa?Sijaona kipya tofauti na miaka ya nyuma ingawa walijisifia Sana lakini uteuzi umekuwa wa ovyo sana
Maccm mipumbavu imezidiwa ubunifu na CHADEMAAkiongea na waandishi wa habari ndugu Polepole amesoma wagombea waliopitishwa kugombea Ubunge kupitia CCM
Jane nifundishe namna ya ya kuingia XVIDEO nasikia kule nako GWAJIMA nI MAAFRUFU SANA!Gwajima ndiyo abari ya mjini
Kuwa na AmaniKumradhi labda nilikuelewa vibaya, ...
Hongera kwake. Kweli nimeani huyu alikuwa mtu special kwa Magufuli,miaka yote tulijidanganya Makonda ndo alikuwa mtoto pendwa. Kunambi ndo mtoto pendwa bwana.Kapata
Jina limerudishwa Koromije kwanzaKwani Jina la Makonda limerudi?