nyembela
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 413
- 525
Jamani wakati tunasoma miaka yanyuma tulikuwa tunashindanishwa kishule kufanya mitihani,Kila shule ilichagua mabingwa wamasomo kulingana na darasa, sikuwahi Ina anaeshika mkia darasani kuwakilisha darasa ktk shule, kwakufanya hivyo walimu wangekuwa wanapenda kushiriki tu,,wasifuri kumpa Mia naona Kama nitatizo lakiushindani.