Gwajima hawezi kupita, nalitakalomuangusha niudini uliopo Kawe, heri waislam tumchague halima lkn sio Gwajima.Sasa ajikite kusali walau wapate majimbo kule kwenye wagombea dhaifu wa CCM ili apate nafasi viti maalum.
Yaani Kawe jimbo la wasomi na watu wenye uwezo kifedha wamchague mcheza pono na mtu wa kujipendekeza kama Gwajima???Hapa tuseme ukweli. Halima hatoboi hata chembe mbele ya Gwajima.
Kwa jinsi barabara za jimbo la Kawe zilivyokuwa mbovu, hatuna ujanja bali kutambua ukweli mchungu ya kuwa baniani mbaya kiatu chake ni dawa.Hajafanya lolote la maana Kawe. Na Gwajima ndo atajustfy hayo .Wanakawe watasema twende na Gwajima. Binafsi mimi nitampigia kura Gwajima.
Askofu uchwara , mjasiria dini , mla Kondoo mmempitisha bila aibu.Safi Sana Gwajima.
Chali kivipi? Mbona alishindwa kura za maoni?Makonda chalii
Wananchi hilo hatuelewi. Ndo maana tutachagua Gwajima.
Ndio. Kapita kwenda koromijeMakonda kapitaaaaaa
HahahaNdio. Kapita kwenda koromije
Jifunze kuandika basi, abari ndio nini?Gwajima ndiyo abari ya mjini
Muda utaongea labda waibe halali bin haki gwaji hatoboiHapa tuseme ukweli. Halima hatoboi hata chembe mbele ya Gwajima.
Sio tu suala la dini. Gwajima Kawe hakubaliki, Kawe ni jimbo la wasomi na watu wenye uwezo kifedha, uchafu wa Gwajima kuanzia kimaadili mf video zake za ngono na ule upotoshaji wake mf suala la corona sijui amphiphilo labda angegombania majimbo ya watu wengi wasio la elimu pamoja na uwezo. Sio Jimbo la Kawe!!Gwajima hawezi kupita, nalitakalomuangusha niudini uliopo Kawe, heri waislam tumchague halima lkn sio Gwajima.