Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

CYPRIAN MUSIBA [emoji23][emoji23][emoji23]

Jimbo la Mwibara - Charles Kajege
 
Waislam hatuwezi mchagua gwajima aliyetutukana waziwazi


Hapo patamu sasa, lkn H.Mdee harudi hata iweje amechokwa na kila mtu hata waliompigia debe kwa nguvu zote, binafsi naamini kabisa hata huyu dogo aliyeshinda maoni CCM Kawe angemuondoa Mdee Halima, ...
 
Hongera kwake. Kweli nimeani huyu alikuwa mtu special kwa Magufuli,miaka yote tulijidanganya Makonda ndo alikuwa mtoto pendwa. Kunambi ndo mtoto pendwa bwana.
Jamaa hana makuu kama rc aliyemaliza muda wake
 
Bukoba mjini kwisha habari yao, huyo Byabato ambaye pia ni class mate wangu hatoshi kupambana na Chief Kalumuna wa CDM. Kalumuna anakwenda kushinda kwa 60% na siku ikifika naruhusu mnitafute japo mie sina ramli ila ukweli yafaa uwekwe bayana.
 
HONGERA sana MHE.RAIS JPM kwa kuiongoza vyema kamati yako na kutuletea watu sahihi...Sasa Kawe na Arusha zinarudi nyumbani baada ya kuwa mikononi mwa upinzani. CCM HOYEEEE YANI RAHA MPAKA BASI
 
Habari za mchana,.
Ni matumaini haisha yanaendelea hapo mlipo lakini kiukweli polen sana sana mlipambana kupata na kupitisha mliodhani ni watu sahihi kipeperusha bendera ya Ccm!!! Lakini ccm imethibitisha ina wenyewe nyie ni makambale tuuu hamna jipya na mlipoteza muda tuuu!!!!
Poleni na mchana mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…