Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hata mimi nilimsapoti kama mtu pekee anayeweza kumtoa ama kumpa ushindani wa kweli MdeeYap nilimsaport tokea alipotia nia.
Waislam hatuwezi mchagua gwajima aliyetutukana waziwazi
Amepigwa chini
[emoji848]Alikiba
Kwa ninavyoijua Muheza,Mwana FA anasubiri kuapishwa tu...Akapambane na kijana mwenzie Yosepher Komba
Jamaa hana makuu kama rc aliyemaliza muda wakeHongera kwake. Kweli nimeani huyu alikuwa mtu special kwa Magufuli,miaka yote tulijidanganya Makonda ndo alikuwa mtoto pendwa. Kunambi ndo mtoto pendwa bwana.
Shinyanga, Kawe, Tunduma, Momba na Arusha mjini CCM watapoteza majimbo mchana kweupeMaselle muhongaji sana yule. Ila Katambi nae atapata tabu sana kutoboa mbele ya Chadema. Shy town Chadema wapo vizuri.
So yule mama chaliiiiKapita
Ngumu mkuu unakumbuka Adadi alitangazwa baada ya siku ngapi kupitaKwa ninavyoijua Muheza,Mwana FA anasubiri kuapishwa tu...
Anamtaja Makonda au..?