Umani Wolbachia
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 327
- 311
Hakuna cha kushtuka wala nn wajumbe walimkubali dogo ila sasa ngazi ya mwisho ya maamuzi imeona Gwajima ndo anafaa kupambana na CDM....hatutaki kutumia nguvu safari hiii majibu mtayaona wenyewe kampeni zikianza....ushindi mapemaaaaaWamestuka kelele za mitandaoni. Wakabadili gia angani. Unadhani hawana akili kama wewe?
Unamjua furaha?Kama mgombea hana udugu na John hapiti.
Wewe ndio huna
Mbaya zaidi unajua matusi tuu. Pole
Halima amepata mtu wa kukemea mapepo ya kusagana!Wamempitisha Askofu tapeli gwajima ili akaunde kikundi chake cha kikabila?
Sasa Halima atamuonyesha kazi
Ni kweli?!Mipango Pinda yasemekana hana mtoto wa kuzaa
Gwajima hamuwezi Halima!
Anaweza kuwa naibu waziri wa fedhaSafii, tunamuhitaji Kimei.
Ndugu ni kwa wote, labda Bwana na BibiNasikiliza hapa hawa jamaa wanatangaza majina ya waliopitishwa kugombea nafasi za ubunge.
Hivi mwanamke huwa anatumia prefix ya Ndugu au bibi?!
Si huwa tunatumia, kwa mfano, Ndugu Abubakari sadiki, Bibi Mariam sulemani,
Jamani,Kunambi vipi kapata ama ?
Ndio hivyo, yeye anajua matusi ni akili ila hajui ni akili isiyotimilikaUna maana jamaa ndio hana akili au kichwa chake kina mitusi tu
Bila shaka nadhani atapewa Viwanda na Biashara.. Ila ningefurahi sana kama atapewa Fedha..Kimei akipita ubunge ama atakuwa waziri wa Fedha au atachukua nafasi ya kijana Bashungwa, viwanda na biashara.
Hay ndo maeneo ya huyu nguli wa uchumi.
Yaani nimecheka kwa sauti ya juu haswa hana chake yule tena acheze kwa step haswa hakuna rangi ataacha kuona mwanakulitaka mwanakulipataAnamtaja Makonda au..?