Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Kapole pole kanajionaga ni kamtu muhimu sana katika hili taifa. Ushuzi mtupu....
Mkuu chuki za Nini kuziweka hadharani hapa...Kama unachuki zako baki nazo tu kimoyomoyo... sisi watanzania wenzako tunaubiri upendo, umoja na mshikamano...tunakataa ubaguzi wa ainayoyote ile...na tunavumiliana kwenye tofauti zetu..Upo mkuu... tupendane
 
ila Kawe ni uonevu umefanyika hasaa

bora hata wangempitisha Pascal Mayala..

na huyo askofu angebakizwa na kazi yake ya kufufua na kuombea
 
Mwana FA , muheza atashinda asubuhi mapema,
Muheza pagumu... Adadi alikuwa amejaribu kusawazisha Hali ya mambo ila kuwekwa pembeni nadhani Mwana FA atapata upinzani mkali Sana...la mzee baba akubali kumuunga mkono...ata kwa shingo upande
 
Rangi ya kiafrica, ngoja tutafute jina

Sio yule jamaa alikuwepo? kama ni rangi ya ki African inaweza kuwa Some body kishiwa nini? Kama ni yeye yule jamaa jembe saaana yaani saana anaweza kuwa hata waziri
 
Muheza pagumu... Adadi alikuwa amejaribu kusawazisha Hali ya mambo ila kuwekwa pembeni nadhani Mwana FA atapata upinzani mkali Sana...la mzee baba akubali kumuunga mkono...ata kwa shingo upande
Haitokaa itokee. Yani huko majimboni habari yake mtaanza kuisikia muda mchache ujao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…