Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Sijui umetumia kigezo gani, yaani Sugu alieongoza kupata kura nyingi zaidi ya wabunge wote 2015 leo umpe 50/50 na mtoto asiejua hata wapiga kura wake ni kina nani?!
Mkuu uje hapa tarehe 29 asubuhi na nakusihi uje bila kukimbia
 
Hawa Ghasia na Mnyeti wamepita???
 
Kwanza kabisa aliyeteuliwa ndiye aliyeshika namba moja kwenye kura ya maoni. Kwa desturi wa wana Rorya sidhani kama CCM watashinda kwenye uchaguzi ujao kwenye Jimbo hili.. Haya ni maoni yangu. Tunajuta sana ni kwa nini Lakairo hakutia nia licha ya kuchukua fomu na kuirudisha kwa hasira na kutangaza kuwa sasa hatagombea tena. Kwa mawazo yangu tayari Jimbo limekwenda upinzani. Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…