Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Rorya:chege vs wenje
Tarime(mj):kembaki vs matiko
.
Tarime(v):waitara vs heche
Hapa ndipo tutajua hatujuii
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Boniface Nyangindu ButondoSio yule jamaa alikuwepo? kama ni rangi ya ki African inaweza kuwa Some body kishiwa nini? Kama ni yeye yule jamaa jembe saaana yaani saana anaweza kuwa hata waziri
Boniface Nyangindu Butondo
Kwa kweli bila hivyo lema angechukua kura zoteNawapa big up sana CCM hapo wamecheza kama pele
Hajasema Sugu atashinda ila alitaka vigezo ulivyotumia, naamini kwa sanduku la kura hakuna wa kumwangusha Sugu ila kwa mambo yetu yale sidhani kama sugu atatoboaMkuu uje hapa tarehe 29 asubuhi na nakusihi uje bila kukimbia
Hivyo hivyo tujaribu...NEC yenyewe ni shina la CCM hivyo hakuna pakupenya mkuu
Sawa mkuu tarehe 29 asubuhi naomba uje hapaHajasema Sugu atashinda ila alitaka vigezo ulivyotumia, naamini kwa sanduku la kura hakuna wa kumwangusha Sugu ila kwa mambo yetu yale sidhani kama sugu atatoboa
Hata kama pesa hazitoki kwenye mifuko yao wao ndo waliozishikilia. Piga ua garagaza, kodi lazima wapelekewe na wao ndo wenye maamuzi ya kuzigawa.Hayo maendeleo mnayotoa kwa upendeleo kwani hizo pesa mnazitoa kwenye mifuko yenu?
Akili zenu sijui zinafanya kazi gani.
Kuna mjumbe mmoja hapa anashauri kwamba kura zao [wajumbe] ziheshimiwe!
112-SirroTunaomba namba za viongozi wa upinzani
Hahahaaaa...... huyo ndiye mbunge wangu mpya!Gwajima ndani
Boniface Nyangindu Butondo
Zile unakopeshwa unavoanza ubunge then unakatwa kwenye mshahara end of the day linakuwa lakoHivi zile gari za wabunge ukishindwa ubunge unazirudisha au ndio inakuwa yako jumlaa