Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Kivipi bwashee?

Sioni sehemu Chadema itatoboa!
Jana nilikutajia list ya waunga juhudi waliorudishwa bwashee. Niamini Jiwe kachoma msitu! Halafu haiingii akilini mtu kama Mwambe anapita halafu Makonda anaachwa.
 
Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!
 
Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!
Ahahhhah eti kibao,mkuu ya kweli hayo?
 
Wajumbe inabidi waitishe kikao cha dharula haraka..
Hahahaaaa
Shy town matokeo kura ya maoni:
1. Stephen Julius Masele - 152
2. Jonathan Manyama Ifunda - 65
3. Gasper Kileo - 51
4. Patrobas Katambi - 12
Hii ndiyo sihasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…