Sitaki hata Kuamini alafu si alishindaa kwa kura za maoni???Jamaa kapiga uno kisha katosa! Kudadeki, chuma kina roho ngumu kweli
kwani Faustin Ndugulile kakosa KigamboniChadema, Ndungulile na Mtoto wa mama Lwakatare hao wachukueni
Hapana, kura yako si haki yako, ukitaka na wewe kaandae li uchaguzi lako.Kuna mjumbe mmoja hapa anashauri kwamba kura zao [wajumbe] ziheshimiwe!
Safi sana. Hivyo mnaenda kumuunganisha na Livingstone na Kasheku kukaa pamoja kupanga mipango ya maendeleo.Kibinafsi nachukua nafasi hii kumpongeza Dr Kimei mtanzania mzalendo kuteuliwa na CCM kugombea Vunjo ambaye aliuthibitishia ulimwengu kuwa hata wazawa Waweza geuza mashirika ya umma ya wazawa yakashindanana ndani na kimataifa kwenye biashara za ushindani
Aliibadilisha CRDB iliyokuwa inakata roho Hadi kuwa benki ya kutegemewa ndani ya nchi na benki ya kwanza ya ndani kuwa na Matawi nje ya Nchi
Hongera Dr Kimei you deserve to be a member of parliament by virtue of your ability
Uwezo wako na performance inakubeba
Mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama anahitaji tu kuambiwa angalia CRDB kabla ya Dr Kimei na CRDB Baada ya Dr Kimei Kuingia
I wish you all the Best Dr Kimei
A. Kairuki hakushinda Kura za MaoniSitaki hata Kuamini alafu si alishindaa kwa kura za maoni???
A. Kairuki hakushinda Kura za Maoni
Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la SabaSafi sana. Hivyo mnaenda kumuunganisha na Livingstone na Kasheku kukaa pamoja kupanga mipango ya maendeleo.
Akili za kiccm ni sawa na viazi mbatata!
Inaweza kuwa ukabila lakini ndo ukweli. Nchi ni yetu sote, pesa ni zetu sote lakini akikabidhiwa mchaga, hazitafika hata siku moja kwetu mie Nkasi. Hazikuwahi kufika miaka yote waliyokuwa Hazina na TRA, lakini najua Kaskazini zilifika.Huo ukabila Nchi ni Yetu sote!
Umeuwa mkuu [emoji23][emoji1787][emoji2960]Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba
CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
Huyu masele alipata kiburi Sana baada ya kuwa makamu wa rais wa bunge la Africa. Aliidharau Sana tz.Yule mbunge wa Shinyanga mjini alikuwa mbunge wa Bunge la Africa naona nae katoswa!!
Wake wa wastaafu wote wametulia yeye kang'ang'ania kuziba riziki za watu ,[emoji44][emoji44]9. Mtoto/mjukuu wa Chief Kunambi
10. Mke wa Jakaya Kikwete
Hapo Bariadi Andrew Mathew ni mzee WA vijisent???
π πNdiyo yule Andrew Mathew
Mwenye chama ndio ana kauli ya mwisho.Mengi yatakimbilia upinzani kama kuku waliokatwa vichwa! Umalaya na wanasiasa wengine tofauti hakuna.π
[emoji16] ile magufuli anaongea jana wamemu edit?
Anasema waitara kachaguliwa Ukonga
Mama Jk nae angetulia tu. First lady unataka nini tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba
CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
100%Mtashangaa makonda anateuliwa viti maalumu na uwaziri juuu