Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Huyu mtu Prof. Patrick Ndakidemi mbona hata darasani alikuwa havutii kufundisha? Sembuse kwenye jukwaa la kampeni!! Hawa CCM wanasema wapi marejesho? Nitashangaa kama atashinda huo ubunge.
 
Hiyo cooperative ya bodi members ya akina Bob Magani wezi wale waliua benki Dr Kimei aka I brand upya Kama Bob Magani yule alikuwa mwenyekiti wa bodi ya hiyo cooperative Bank kabla haijawa CRDB huyo mtu alitokea mikoa ya kusini ndie aliua hiyo benki Kasim Majaliwa mkamate mkabidhi kwa Magufuli afungwe yeye na akina njelu kasaka nk na menejiment yote ya kipindi kile walioua hiyo cooperative Bank kabla kuwa rebranded Kama CRDB Magufuli kamata wote filisi na weka ndani.
 
Mmetenda haki kwa Mvomero, Morogoro kwa kumuengua Amos Makala. Huyo ni mshenzi na jambazi. Alikuwa RC Mbeya lakini ni hovyooo kabisa. Mwache sasa arudie ujambazi wake tumfunge kirahisi.
Aliiba nn kwani
 
Sifahamu kwa nini uzi huu unalazimishwa kuunganishwa hata sehemu ambazo hazihusiki. Mods semeni kama humu tunatakiwa kusifia tu Upinzani.

Niwape hongera kwa sababu kwa mwaka huu kupitishwa tu kugombea Ubunge na CCM ni kupitishwa kuwa Mbunge.

Hasa wale ambao walikataliwa na wajumbe ile kuta ya Veto ikawarudisha.hawa uhakika wa kupita kwenye Ubunge ni mkubwa zaidi sababu wameonekana kuhitajika.

Sasa tunafahamu kuwa Halima Mdee analiacha jimbo kwa Ndugu Gwajima. Na majimbo mengine wale waliopitishwa ndio watakaoshinda.

Uhakika wa CCM kushinda Majimbo ya Ubunge ni Asilimia zaidi ya 90 wakiyaachia mawili matatu kwa vyama rafiki ambavyo vinaonekana kukubaliana na sera na mwenendo wa serikali iliyoko madarakani.

Moderator hamna sababu ya ku delete uzi huu. Nmeandika ninachokifahamu na ntaweka kumbukumbu.CCM ITASHINDA UBUNGE KWA ZAIDI YA ASILIMIA 90.

NA UDIWANI PIA. HONGERENI WABUNGE MLIOPITISHWA KUWA WABUNGE.
 
Mkuu, unajimu ni kazi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…