Hatari sana lolMsumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana..Yeye kama yeye hana lolote.Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Jamaniiioh khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kigamboni ni Ndugulile na si vinginevyo, kama kuna makosa Magufuli hawezi kuyafanya duniani ni pamoja na hili zigo la mavi ambalo alikuwa hajui alituwe vipi lakini finally likajiondowa lenyewe, kama kuna jimbo ambalo wala halina mjada kuteuwa mgombea basi ni kigamboni, Ni Ndugulile.
Poleeeeh sanaahBashite anapitishwa mapema sana, bashite ndie mmbunge rasmi wa kigamboni 2020-2025
Mmmmmh anagawa takrima lolChaguo la ukongaView attachment 1543469
Wote chaliiiiiih uwiiiiiih lolDk Harson Mwakyembe
Steven Masele
Andrew Chenge
Charlece Tizeba
Manguli wa siasa za kibunge??
Afu ukisoma sasa unaona km mtoa thread kaenda OP, Kumbe mods waneunga uzi aaaaahYani Post yoyote Ikihusuu Uchaguzi na matokeo yake wanaileta hapaa sijui wanautindio wa Ubongoo hawaa jamaa...!! Ni upuuzi sanaa wanafanya Mods
Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madarakaMama JK nae angetulia tu. First lady unataka nini tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Kairuki na Makonda n wa kuteuliwa 100%Aaha hapo sawaa...!! Lakini mzee baba sio wa kushindwa kumrudishaa aisee kifaa cheupee vilee[emoji1642]
Kuchaguliwa kwa Gwajima kumenikera sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas, anakata huku akifumba macho, kuepusha maumivu ya mtima [emoji174][emoji174]Angela Kairuki Chalii mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mzee kajikaza sanaa hapaa..
Nani alikuambia kuna lugha ya kwanza na ya pili?Umechanganyikiwa wewe, lugha ya kwanza ya Taifa Tanzania ni Kiswahili, hiyo nyingine ni ya pili, nenda mpaka huko asia, hiyo nyingine ni ya pili kwa nchi nyingi tu na bado inatumiwa vyuoni. Kumaster lugha sio issue sana.
Bado kuna vyeo vya uteuzi huenda akakumbukwa huko.Kigamboni ni Ndugulile na si vinginevyo, kama kuna makosa Magufuli hawezi kuyafanya duniani ni pamoja na hili zigo la mavi ambalo alikuwa hajui alituwe vipi lakini finally likajiondowa lenyewe, kama kuna jimbo ambalo wala halina mjada kuteuwa mgombea basi ni kigamboni, Ni Ndugulile.
Yaah mkuu...!!Kairuki na Makonda n wa kuteuliwa 100%
Yaah yani wawachie vijana wengine jamanii khaa...Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madaraka
Yaah yani wawachie vijana wengine jamanii khaa...Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madaraka
Yaah mkui yani wanakwama sanaAfu ukisoma sasa unaona km mtoa thread kaenda OP, Kumbe mods waneunga uzi aaaaah