Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Chaguo la ukonga

Ef4urmdWoAA1GaZ.jpg
 
Msumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana..Yeye kama yeye hana lolote.Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Hatari sana lol
 
Kigamboni ni Ndugulile na si vinginevyo, kama kuna makosa Magufuli hawezi kuyafanya duniani ni pamoja na hili zigo la mavi ambalo alikuwa hajui alituwe vipi lakini finally likajiondowa lenyewe, kama kuna jimbo ambalo wala halina mjada kuteuwa mgombea basi ni kigamboni, Ni Ndugulile.
Jamaniiioh khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani Post yoyote Ikihusuu Uchaguzi na matokeo yake wanaileta hapaa sijui wanautindio wa Ubongoo hawaa jamaa...!! Ni upuuzi sanaa wanafanya Mods
Afu ukisoma sasa unaona km mtoa thread kaenda OP, Kumbe mods waneunga uzi aaaaah
 
Mama JK nae angetulia tu. First lady unataka nini tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madaraka
 
Angela Kairuki Chalii mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mzee kajikaza sanaa hapaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas, anakata huku akifumba macho, kuepusha maumivu ya mtima [emoji174][emoji174]
 
Umechanganyikiwa wewe, lugha ya kwanza ya Taifa Tanzania ni Kiswahili, hiyo nyingine ni ya pili, nenda mpaka huko asia, hiyo nyingine ni ya pili kwa nchi nyingi tu na bado inatumiwa vyuoni. Kumaster lugha sio issue sana.
Nani alikuambia kuna lugha ya kwanza na ya pili?

Zote ni lugha official ndio maana lugha ya mahakama ni kiingereza hata lugha ya bunge ni kiingereza.

Najua hilo utabisha!
 
Kigamboni ni Ndugulile na si vinginevyo, kama kuna makosa Magufuli hawezi kuyafanya duniani ni pamoja na hili zigo la mavi ambalo alikuwa hajui alituwe vipi lakini finally likajiondowa lenyewe, kama kuna jimbo ambalo wala halina mjada kuteuwa mgombea basi ni kigamboni, Ni Ndugulile.
Bado kuna vyeo vya uteuzi huenda akakumbukwa huko.

Magufuli alisema hao wateule walioachia nafasi zao na kwenda kujaribu bahati zao kwenye kutia nia kwenye ubunge hakuwatuma (Makonda,Katambi n.k) ila cha ajabu kuna walioshindwa kura za maoni ila wamepitishwa hii inaonyesha wanasiasa sio watu wa kuamini.
 
Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madaraka
Yaah yani wawachie vijana wengine jamanii khaa...
 
Mama JK, mama Sittah, mama Malecela hawa inabidi watulie tyuuuh, maan km pesa za taifa wamekula na watakula tyuuh hat wakiwa nje ya madaraka
Yaah yani wawachie vijana wengine jamanii khaa...
 
Tz inamaajabu, yani wamemuengua Dr. H. Mwakyembe wamemwacha standard I Livingstone Lusinde . Hivi Lusinde pia ni Dr. eeh ya heshima ya kukosa aibu!!!
 
Huyu mgombea wa Njombe mjini Deo Mwanyika ni yule aliyekuwa Acacia aliyeshtakiwa Kwa makosa lukuki ya uhujumu uchumi na pia alituhumiwa kushirikiana na Lissu kuisaliti nchi au majina yamefanana?
 
Back
Top Bottom