Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawe hawezi kupita Gwajima.Kawe Gwajima anaibeba kabla misa ya kwanza kuisha ...
Sasa mbona ndani ya CCM hakukubalika?Hajafanya lolote la maana Kawe. Na Gwajima ndo atajustfy hayo .Wanakawe watasema twende na Gwajima. Binafsi mimi nitampigia kura Gwajima.
Mane toku mai frendiGambo mbona kapita Arusha pamoja na Rushwa.
Lowassa Jr. Kapita
Kitila Kibamba
Kawe Gwajima
Kigamboni Ndungiulile
Kweli, asipoteze muda na Kawe, yapo majimbo dhaifu ndio ya kuwekeza all forces. Gwajima pia alikuwa supporter wa Halima miaka yote, anajua njia zote za kupita.Sasa ajikite kusali walau wapate majimbo kule kwenye wagombea dhaifu wa CCM ili apate nafasi viti maalum.
Mfano gwajima Hana mvuto???? Embu nenda kampe pole halima mdee mwambie atafute kazi ingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijaona kipya tofauti na miaka ya nyuma ingawa walijisifia Sana lakini uteuzi umekuwa wa ovyo sana
Wewe mpuuzi sana au hujui mambo. Halima alipita 2010 kwa vile CCM ilimleta Angela asiyependwa!!!!!!!! Leo hii unataka irudie makosaSiyo kwa Gwajima, labda angerudi Angela
N aMwana FA.Katoboa
Wanasiasa Malaya MalayaMengi yatakimbilia upinzani kama kuku waliokatwa vichwa! Umalaya na wanasiasa wengine tofauti hakuna.😀
Kapata japo karata uliiweka kwa RoseJamani,Kunambi vipi kapata ama ?
Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi, sasa kama anawasemea na serikali haisikii yeye angefanyaje?Hajafanya lolote la maana Kawe. Na Gwajima ndo atajustfy hayo .Wanakawe watasema twende na Gwajima. Binafsi mimi nitampigia kura Gwajima.
2010 ilikuwa tofauti. Any way muda utasemaWewe mpuuzi sana au hujui mambo. Halima alipita 2010 kwa vile CCM ilimleta Angela asiyependwa!!!!!!!! Leo hii unataka irudie makosa