Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Ni awamu kiongozi sio hawamu BTW gwajima hapigiwi kula na waumini anapigiwa na kawe HAWEZI kushinda
Nashukuru kwa masahihisho....ila kuhusu kushinda CDM wamtafutie kazi nyingine yule madam mana anapigwa mapema tuuu..Hatutaki uchaguzi wa fujo
 
Wajumbe walijifanya wajanjaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hiyo mirushwa yao hiyo, mimi wala siwaungi mkono kama mtoa mada anavyotaka kutuaminisha!
Nadhani umefika wakati mfumo wa kura za wajumbe ubadilishwe na badala yake zipigwe na wanachama wote ili kudhibiti mihemuko ya watia nia wanaoendekeza rushwa!
 
Hongereni wote Mliopitishwa kugombea ubunge Majimbo Tofauti.

Kwa hilo Benchi la Ufundi Wapinzan hawana Chao watatoroka Mapema sana.

Kampeni zimekua rahisi sana hawana pa kutokea.Ccm chama makini

Heko mwenyekiti
I

Umakini kuwapitisha waliogomewa na wajumbe we huoni kuna mbilinge hapo
 
Mzee Mwanri wamemkatili sana. Bora angebaki na ukuu wa mkoa. Mnyonge mnyongeni aki yake mpeni

Ni mchekeshaji mzuri tu na akawa na kipindi kwenye TV cha vichekesho au usheherekeshaji na akaingiza mpunga wa kutosha tu.
 
IMG_20200411_064203.jpg
 
Mkuu siku nyingine usiwe na haraka Unawah nn s ungesubir majina yote
 
Aliyemchagua magufuli nani ATAMPINGA?
Sio tu suala la dini. Gwajima Kawe hakubaliki, Kawe ni jimbo la wasomi na watu wenye uwezo kifedha, uchafu wa Gwajima kuanzia kimaadili mf video zake za ngono na ule upotoshaji wake mf suala la corona sijui amphiphilo labda angegombania majimbo ya watu wengi wasio la elimu pamoja na uwezo. Sio Jimbo la Kawe!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom